Hatimae taifa latolewa kimasomaso na taifa stars

Tunashinda kibahati na sio kwa kuonesha kiwango kizuri cha mpira. ..bado kunahitajika kuiunganisha timu ili iweze kucheza ki professional zaidi.
 
hongera zao, sasa si kichwa cha mwendawazimu au kichwa cha punguani tena, ni kichwa cha mtafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…