Huenda wewe ulitongoza wale mabinti zake!
hahaa hasa yule wa Mzumbe alikuwa anapiga makonyagi kama hana akili nzuriiiii..dah umenikumbusha sana mambo ya chini ya muti...tukikamata bumu halafu ndo tumetoka kwenye test ya sembuche
okay so whats nest for Prof. Pereka? Ina maana wakati akiwa DVC Finance alikuwa hafundishi? nakumbuka alinifundisha Animal physiology ila sikuwa na tishio la kukamatwa wala hajawahi kunikamata.....in fact tulikuwa friends
Hivi ana binti zaidi ya mmoja? eti Jafar?

Revvvvvvvvvvvv we ni noma, umeoa MUGLO? hahahaaa jama njooni mchukue watoto wenu huku vibandani na barakuda maana wengine wanaitwa vet, wengine general nk.Sasa mambo shwariiiiiiiiiiii, ngoja tuone Matovelo atakuja na sera gani ila namuamini kwani amesha kaa postgraduate kwa muda mrefu sasa.
hahaa hasa yule wa mzumbe alikuwa anapiga makonyagi kama hana akili nzuriiiii..dah umenikumbusha sana mambo ya chini ya muti...tukikamata bumu halafu ndo tumetoka kwenye test ya sembuche
Sure wasuaso aka wasuasub tupo wengi.haaa,umenikumbusha "sembuche the great". Kumbe humu wasuaso wenzangu mpo wa kumwaga ee!