Tonge
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 695
- 12
Ni siku, wiki na miezi ilipita kwa Prof Pereka kuwa DVC (AF) na leo hatimaye amemaliza muda wake na Profesa Matovelo ameteuliwa na search team kuwa DVC(AF) mpya wa SUA. Tunampongeza Profesa Pereka kwa uongozi wake imetosha sana na tunamkaribisha Profesa Mtovelo kutuongoza, yale mabaya ya aliyepita aachane nayo na mazuri aendeleze na tunamuomba aangalie maslahi ya watumishi ili angalau wadumu na kufanya kazi kwa bidii.
KILA LA KHERI PROF MATOVELO
KILA LA KHERI PROF MATOVELO