Kuna wakati Polepole huwa anaongea kama Msigwa na wakati mwingine Msigwa huongea kama Polepole hasa linapokuja swala la matumizi ya nafasi ya wanayemsemea yani " Rais " au " Mwenyekiti "!! Lakini hiyo huwa haibadilishi maana ya ujumbe mzuri wanaouwasilisha!!HBaada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni Kama wanaidharilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.
Walitaka kuanzisha vita ambayo wameona kabisa hawawezi kuishinda kamwe!HBaada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni Kama wanaidharilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.
My take
Kila shetani ana mbuyu wake ukimya wa maaskofu na mashehe umetuumiza Sana Kama taifa
What a point, we love our country, loving a government is prior to perceiving what you expect from dem.....You can love your country without having to love your government!