Mkuu wewe dhana maendeleo ni kitu gani hasa?kwa nini umeenda kijijini kabla ya muda wa kuripoti halmashauri? Nani amekupangia kituo huko kijijini kabla ya muda?
Mkuu wewe dhana maendeleo ni kitu gani hasa?kwa nini umeenda kijijini kabla ya muda wa kuripoti halmashauri? Nani amekupangia kituo huko kijijini kabla ya muda?
duu sijui nikujibu vp kwa hiyo ulitaka nianze safari tar mosi nini halafu nije nifikie kwako si ndio.huo usungusungu kwenu na kama huijui dhana ya maendeo basi wewe unatakiwa uzaliwe upya maana unavyoonekana hujui chochote ktk hii dunia