Hatimae nimepona Masundosundo

Hatimae nimepona Masundosundo

Solar pro

Member
Joined
Jan 30, 2021
Posts
56
Reaction score
190
kwa bahati zuri nimepona Masundosundo kwenye uume ugonjwa umenisumbua takribani mienzi tisa +9 ) leo naandika hivi yani nimepona kabisa nashukuru sana Jf doctor Kinga muhimu sana ,
 
Hongera Mkuu , Katie Sadaka Kwa Mungu ,angalau hata Kwa kuwakumbuka Yatima Kwa nguo za mitumba
 
kwa bahati zuri nimepona Masundosundo kwenye uume ugonjwa umenisumbua takribani mienzi tisa +9 ) leo naandika hivi yani nimepona kabisa nashukuru sana Jf doctor Kinga muhimu sana ,
Huu ndio ugonjwa GANI au unaaminisha mafundofundo (tonses)
 
Back
Top Bottom