T TIBIM JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 8,010 Reaction score 7,967 Dec 27, 2017 #61 Minah24 said: Baada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa Ahsanten sanaaa... Click to expand... Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia
Minah24 said: Baada ya kuperuzi umu kama guest,Leo nimeamua kujiunga rasmi Naomba umnipokee Mimi member mpya humu ila muenyeji hahahahaaa Ahsanten sanaaa... Click to expand... Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia
Antonio de Guzman JF-Expert Member Joined Jun 20, 2016 Posts 7,943 Reaction score 15,678 Dec 27, 2017 #62 Minah24 said: Nimekuwa nikiperuzi kama guest so baadhi ya watu umu nawaelewa Click to expand... Aisee kumpe adi papuchi na gegedo wazijua
Minah24 said: Nimekuwa nikiperuzi kama guest so baadhi ya watu umu nawaelewa Click to expand... Aisee kumpe adi papuchi na gegedo wazijua
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #63 Antonio de Guzman said: Nakusubiri hapa na pensi Click to expand... Mweeh ckuj tena kwakwel
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #64 Barack Obama jr said: Umeamua kuja kwa id nyingine tofauti! Click to expand... Baada ya kutumia ipi? Ndo nimejiunga kwa Mara ya kwanza app yenyewe nime download Jana ucku Hebu nikaribishe uache roho mbaya jaman
Barack Obama jr said: Umeamua kuja kwa id nyingine tofauti! Click to expand... Baada ya kutumia ipi? Ndo nimejiunga kwa Mara ya kwanza app yenyewe nime download Jana ucku Hebu nikaribishe uache roho mbaya jaman
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #65 babalao 2 said: Pesa n mpesa jf ni pm. Njoo pm nkuambie kitu flan Click to expand... Nakuja
H ho chi minh JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 32,904 Reaction score 163,076 Dec 27, 2017 #66 Jamaa kauliza umeolewa? Ulioojibu ndio kakaa kimya na zawadi yake.
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #67 TIBIM said: Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia Click to expand... Mm nafuata mishale tu Kwani simu yako haikuonyeshi pakujibia?
TIBIM said: Mimi pia nimejiunga ila sijui jinsi ya reply message zaidi direct bila kudandia message ya mwingine, ile sehemu ya direct sijui jinsi ya kuingia Click to expand... Mm nafuata mishale tu Kwani simu yako haikuonyeshi pakujibia?
H ho chi minh JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 32,904 Reaction score 163,076 Dec 27, 2017 #68 Umependeza kweli eeh
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #69 Antonio de Guzman said: Aisee kumpe adi papuchi na gegedo wazijua Click to expand... sana tyuu
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,769 Dec 27, 2017 #71 Saint Ivuga said: Njoo PM nikupe zawadi Click to expand... Fisi maji on the move
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #72 ho chi minh said: Jamaa kauliza umeolewa? Ulioojibu ndio kakaa kimya na zawadi yake. Click to expand... Hahahaaaa Anaogopa Muke ya mutu..
ho chi minh said: Jamaa kauliza umeolewa? Ulioojibu ndio kakaa kimya na zawadi yake. Click to expand... Hahahaaaa Anaogopa Muke ya mutu..
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,769 Dec 27, 2017 #73 BAK said: Picha please! Karibu sana Click to expand...
H ho chi minh JF-Expert Member Joined Sep 27, 2016 Posts 32,904 Reaction score 163,076 Dec 27, 2017 #74 Minah24 said: sana tyuu Click to expand... Nimependa jibu lako
Barack Obama jr JF-Expert Member Joined Dec 23, 2017 Posts 592 Reaction score 982 Dec 27, 2017 #75 Minah24 said: Baada ya kutumia ipi? Ndo nimejiunga kwa Mara ya kwanza app yenyewe nime download Jana ucku Hebu nikaribishe uache roho mbaya jaman Click to expand... Hahaha haya bhana karibu sana Mimi sina roho mbaya ndio maana nasema karibu uje uchukue siku kuu yako
Minah24 said: Baada ya kutumia ipi? Ndo nimejiunga kwa Mara ya kwanza app yenyewe nime download Jana ucku Hebu nikaribishe uache roho mbaya jaman Click to expand... Hahaha haya bhana karibu sana Mimi sina roho mbaya ndio maana nasema karibu uje uchukue siku kuu yako
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,769 Dec 27, 2017 #76 evart said: Haya ,chukua hizo zawadi zako za sikukuu Click to expand...
deluxelub JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 250 Reaction score 165 Dec 27, 2017 #77 Karibu sana
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #78 Mzigua90 said: Fisi maji on the move Click to expand... kumbeee! Wacha nichukue tahadhari..
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,393 Reaction score 88,769 Dec 27, 2017 #79 Karibu mwaya ila wakubalie ombi la picha tafadhali
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Dec 27, 2017 #80 Hahahahaha lol! Si unajua desturi ya humu. Ukitupia kapicha itapendeza zaidi. Mzigua90 said: Click to expand...
Hahahahaha lol! Si unajua desturi ya humu. Ukitupia kapicha itapendeza zaidi. Mzigua90 said: Click to expand...