Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #221 Barack Obama jr said: Njoo pm nikupe mbinu bora za kukabiliana na wanaume wakorofi wa humu ndani ili usipate tabu dhidi yao Click to expand... Nakuja
Barack Obama jr said: Njoo pm nikupe mbinu bora za kukabiliana na wanaume wakorofi wa humu ndani ili usipate tabu dhidi yao Click to expand... Nakuja
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Dec 27, 2017 #222 Minah24 said: Nakuja Click to expand... Pita nakwangu
Minah24 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,043 Reaction score 1,937 Dec 27, 2017 Thread starter #223 Mwifwa said: Sawa. Nakukumbusha tu, alikuja Husna TheBosslady kwa mbwembwe kama wewe hatimae aligeuka kuwa Erick Otieno. Kila la kheri!!! Click to expand... Bhaccc sawa Japo kwambaliiiiii inauma kuona nahisiwa hivyo inakosesha aman kwa moyo
Mwifwa said: Sawa. Nakukumbusha tu, alikuja Husna TheBosslady kwa mbwembwe kama wewe hatimae aligeuka kuwa Erick Otieno. Kila la kheri!!! Click to expand... Bhaccc sawa Japo kwambaliiiiii inauma kuona nahisiwa hivyo inakosesha aman kwa moyo
Barack Obama jr JF-Expert Member Joined Dec 23, 2017 Posts 592 Reaction score 982 Dec 27, 2017 #224 Minah24 said: Nakuja Click to expand... Karibu sana ujusikie huru Minah24 Mimi ndiye Obama jr
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Dec 29, 2017 #225 Minah24 said: Shukran mkuu Click to expand...
J Jozi 1 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 6,562 Reaction score 4,151 Dec 29, 2017 #226 Raphael wa Ureno said: Faiza Foxy huyo Click to expand... Umemmiss Faiza si bure
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,885 Reaction score 51,713 Dec 29, 2017 #227 Minah24 said: Hamkawii kuniliza uko nikaanza kuandika Uzi wa kuwalaani Click to expand... Kila mwanaume na sera zake kama wanasiasa ila pia sio. wanaume wote ni korofi na sio kila mwanasiasa ni muongo.... Ngoja nije pm tuyajenge pamoja
Minah24 said: Hamkawii kuniliza uko nikaanza kuandika Uzi wa kuwalaani Click to expand... Kila mwanaume na sera zake kama wanasiasa ila pia sio. wanaume wote ni korofi na sio kila mwanasiasa ni muongo.... Ngoja nije pm tuyajenge pamoja
Mr Makunduchi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 995 Reaction score 492 Dec 29, 2017 #228 Minah24 said: Hahahaaaa hapana cjawai kujiunga humu kabisaaa japokuwa nimekuwa nikiperuzi Mara nyingi tu Click to expand... Karibu tule
Minah24 said: Hahahaaaa hapana cjawai kujiunga humu kabisaaa japokuwa nimekuwa nikiperuzi Mara nyingi tu Click to expand... Karibu tule