ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Mimi nilikua najibu tu, hoja ya mshenzi mmoja ...Nyakati za kuwatisha waislamu zimekwisha...
umenikumbusha kitu kizuri sana mdau ligendayika, alishasema Mwalimu "dhambi ya ubaguzi ni kama dhambi ya kula nyama ya mtu....". mie naangalia tu, at the end yatakuja ya Wazanzibari na Wazanzibara, duh kazi kwelikweli
swali nililo nalo, naombeni mnisaidie wadau...ni kitu gani ambacho Tanzania Bara itapoteza kama muungano ukifa? nauliza tu, naomba nipewe ukweli....
mhhh nashukuru kwa majibu mdau.Mkuu:
jibu lako zuri watakuwa wanalo watawala wa kuu kwanini wan'ganganie kitu kisicho na mufaa kwao ! lakini jibu jengine ni kusambaratika kwa jina Tanzania .lakini kubwa zaidi ni posho la misaada itabidi kila mmoja awe na lake .jengine ambalo baya ama zuri watanganyika wengi walioachwa katika giza na umasikini katika nchi yao ya Tanganyika watatoka usingizini na kudai haki zao za msingi sahau Dar , Arusha, Mwanza na miji mengine kidogo kulikobaki huwezi jua kama upo Tz hakuna hata hadhi ya kuitwa vijiji. huku kote wataamka na kutaka vipande vyao na mwisho tutakuta South Tanganyika, North Tanganyika, West Tanganyika na East Tanganyika kila mmoja na lugha yao ya taifa yenye makabila zaidi ya 20. tukianza na wewe je unapata haki yako ya msingi katika nchi yako ? na utabaki katika tanganyika ipi sema ukweli usiogope mafisadi .
Baba yangu aliniambia waislam hapa nchini wanaogopeka sana.
kwa kuongeza:uislamu ni dini inayokusanya mataifa na makabila mbali mbali ulimwenguni kote bila ya ubaguzi wowote,baba yako hakukosea,kama ugomvi wako na waislamu elewa kwamba utashindwa kwanzia sasa,kwa ushahidi zaidi muulize G.W.bush na kuporomoka uchumi wa marekani na muulize sababu zilizopelekea hiyo kitu kutokea!!