Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 10,020 Reaction score 5,832 Apr 27, 2010 #1 sijui nania alimpa nauli mrisho mpoto maana jana alikutana na anko wake akamwambia yaliyo moyoni mwake, alimchana ki mtindo anko.....
sijui nania alimpa nauli mrisho mpoto maana jana alikutana na anko wake akamwambia yaliyo moyoni mwake, alimchana ki mtindo anko.....
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 27, 2010 #2 ha haha lakini mwishoni aliniboa alivyomaliza mchano wake..sijui anataka kiti ikulu?
M muntari New Member Joined Mar 19, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Apr 27, 2010 #3 Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli.
Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 27, 2010 #4 muntari said: Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli. Click to expand... Link tutatoa wapi tena wakati ujumbe aliufikisha live kwenye maadhimisho ya miaka 46 ya muungano
muntari said: Wakuu itakuwa vyema sana kama kuna mtu ataweza kutupa link ya kusikiliza ujumbe aliopewa mjomba baada ya mpoto kupata nauli. Click to expand... Link tutatoa wapi tena wakati ujumbe aliufikisha live kwenye maadhimisho ya miaka 46 ya muungano
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 561 Apr 27, 2010 #5 Anaganga njaa tu
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Apr 27, 2010 #6 Hongera sana Mpoto sijui shairi hilo tutalipataje? Ngoja nipekue pekue
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Apr 27, 2010 #7 Fidel80 said: Hongera sana Mpoto sijui shairi hilo tutalipataje? Ngoja nipekue pekue Click to expand... wewe ni jirani yako mwambia akuuzie CD mjomba!
Fidel80 said: Hongera sana Mpoto sijui shairi hilo tutalipataje? Ngoja nipekue pekue Click to expand... wewe ni jirani yako mwambia akuuzie CD mjomba!
Isimilo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 217 Reaction score 7 Apr 27, 2010 #8 mimi nilisikiliza sehemu kubwa alikua anaongea kama hotuba. kama vile alikua anatungia palepale na kuingiza vionjo kidogo kidogo. nafikiri unaweza kuupata TBC AU CHANELL TEN. ila anko mwenyewe alikua anacheka sana sana wakati anapewa ujumbe.
mimi nilisikiliza sehemu kubwa alikua anaongea kama hotuba. kama vile alikua anatungia palepale na kuingiza vionjo kidogo kidogo. nafikiri unaweza kuupata TBC AU CHANELL TEN. ila anko mwenyewe alikua anacheka sana sana wakati anapewa ujumbe.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,927 Apr 27, 2010 #9 Muhimu anko alipata ujumbe!
B Bibi Kizee JF-Expert Member Joined Feb 18, 2008 Posts 211 Reaction score 10 Apr 27, 2010 #10 hapa link ya maadhimisho muungano http://bit.ly/8X3QMS