mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Jan 19, 2014 #1 marketer nguli Kelvin Twisa weekend hii ameuaga rasmi ukapera na kufunga ndoa na bi Eleonor...
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #2 Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
H Huendi mbinguni Member Joined Jan 8, 2014 Posts 98 Reaction score 24 Jan 19, 2014 #3 Nawez dada angu akickia atakunywa sumu bora abaki huko huko uk
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Jan 19, 2014 Thread starter #4 Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor....
Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor....
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #5 Gunny Alfred said: Nawez dada angu akickia atakunywa sumu bora abaki huko huko uk Click to expand... Kwani vipi tena.anywe sumu harusi za watu.?
Gunny Alfred said: Nawez dada angu akickia atakunywa sumu bora abaki huko huko uk Click to expand... Kwani vipi tena.anywe sumu harusi za watu.?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #6 mkonowapaka said: hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor.... Click to expand... Si unaona mdau Hapo juu.mi nimekuta wadada wanataka kuandamana ikabidi watulizwe.mwee sijui hawajui alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi tena kutenganisha.majanga kweli kitaa
mkonowapaka said: hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor.... Click to expand... Si unaona mdau Hapo juu.mi nimekuta wadada wanataka kuandamana ikabidi watulizwe.mwee sijui hawajui alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi tena kutenganisha.majanga kweli kitaa
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 Jan 19, 2014 #7 Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... JF ina mambo lol
Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... JF ina mambo lol
BRAVO 2 ZERO JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,206 Reaction score 1,252 Jan 19, 2014 #8 Mwenye cv ya huyu bwana tafadhari.
mpiga domo JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 852 Reaction score 1,507 Jan 19, 2014 #9 Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... hahahahaha
Smile said: Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto Click to expand... hahahahaha
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #10 SHERRIF ARPAIO said: JF ina mambo lol Click to expand... Nasikia mtoto mmoja kapelekewa tayari.yaani bongo umbea umbea
SHERRIF ARPAIO said: JF ina mambo lol Click to expand... Nasikia mtoto mmoja kapelekewa tayari.yaani bongo umbea umbea
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,258 Jan 19, 2014 #11 Hehehehehe ina maana naniliu alishapigwa chini
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #12 adakiss23 said: Hehehehehe ina maana naniliu alishapigwa chini Click to expand... Sio amepigwa wamepigwa chini kibao..happy yooo kwa eleneor
adakiss23 said: Hehehehehe ina maana naniliu alishapigwa chini Click to expand... Sio amepigwa wamepigwa chini kibao..happy yooo kwa eleneor
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Jan 19, 2014 Thread starter #13 Smile hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria:A S 13: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
H Huendi mbinguni Member Joined Jan 8, 2014 Posts 98 Reaction score 24 Jan 19, 2014 #14 Smile/wajfanya hujui tabia za huyu mwanetu?c yule dada nanihiii asa hivi yupo uk ndo alimvika na pete????tafuta cv yake bandika hapa
Smile/wajfanya hujui tabia za huyu mwanetu?c yule dada nanihiii asa hivi yupo uk ndo alimvika na pete????tafuta cv yake bandika hapa
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #15 Gunny Alfred said: Smile/wajfanya hujui tabia za huyu mwanetu?c yule dada nanihiii asa hivi yupo uk ndo alimvika na pete????tafuta cv yake bandika hapa Click to expand... Ahahaa mi wa UK simjui bwana.mi nawajua tu wa hapa hapa town walioachwa kwenye mataa
Gunny Alfred said: Smile/wajfanya hujui tabia za huyu mwanetu?c yule dada nanihiii asa hivi yupo uk ndo alimvika na pete????tafuta cv yake bandika hapa Click to expand... Ahahaa mi wa UK simjui bwana.mi nawajua tu wa hapa hapa town walioachwa kwenye mataa
H Huendi mbinguni Member Joined Jan 8, 2014 Posts 98 Reaction score 24 Jan 19, 2014 #16 Cpati picha wakat akipita road,vilio vilitawalaje kwa walotapeliwa..........tusaidie smile
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #17 Gunny Alfred said: Cpati picha wakat akipita road,vilio vilitawalaje kwa walotapeliwa..........tusaidie smile Click to expand... ahahaa mi sijui bwana loh
Gunny Alfred said: Cpati picha wakat akipita road,vilio vilitawalaje kwa walotapeliwa..........tusaidie smile Click to expand... ahahaa mi sijui bwana loh
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,422 Jan 19, 2014 #18 Malaya malaya tuu ht akioa...huyo dada ajiandae na yy kwa vilio..unless naye ni malaya mwenzie
H Huendi mbinguni Member Joined Jan 8, 2014 Posts 98 Reaction score 24 Jan 19, 2014 #19 Tutajua tu,japo wao walitapeliwa kwa pete c wajua tena wadada wa mjini mkivikwa pete mibichwa hiyo mpk kina cc mwatudharau eti tutawapotezea mda.....
Tutajua tu,japo wao walitapeliwa kwa pete c wajua tena wadada wa mjini mkivikwa pete mibichwa hiyo mpk kina cc mwatudharau eti tutawapotezea mda.....
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Jan 19, 2014 #20 tofali said: Malaya malaya tuu ht akioa...huyo dada ajiandae na yy kwa vilio..unless naye ni malaya mwenzie Click to expand... Kila kitu kina mwisho wake. Machangu wangapi wameolewa na wametulia.wengi walipitia hukohuko.
tofali said: Malaya malaya tuu ht akioa...huyo dada ajiandae na yy kwa vilio..unless naye ni malaya mwenzie Click to expand... Kila kitu kina mwisho wake. Machangu wangapi wameolewa na wametulia.wengi walipitia hukohuko.