Miaka ya nyuma nafikiri waliomba ila wakanyimwa, baadae kidogo Azam akafungua biashara, juzi tu hapo Azam amepewa leseni rasmi ya kurusha mechi za ligi ya Tanzania.
Kwa quality na ukubwa wa biashara ya DSTV (Multi Choice) akipewa na Azam kibali cha kurusha mechi, 90% ya biashara ya Azam TV inakufa instantly.