Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 11, 2024 #1 Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,631 Reaction score 11,890 Jan 11, 2024 #3 Tangu jana usiku ndo ilikuwa breaking news kwenye 220
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 11, 2024 Thread starter #4 BigBro said: Tangu jana usiku ndo ilikuwa breaking news kwenye 220 Click to expand... Ok
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Jan 11, 2024 #5 Hili tangazo nililiona jana kwenye Supersport Blitz. Well its a good news kwa king'amuzi changu pendwa
Hili tangazo nililiona jana kwenye Supersport Blitz. Well its a good news kwa king'amuzi changu pendwa
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,353 Reaction score 80,139 Jan 11, 2024 #6 Safi sana
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,508 Reaction score 35,695 Jan 11, 2024 #7 TV ni DSTV
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,073 Reaction score 104,474 Jan 11, 2024 #8 ππ Ety kutangulia sio kufika ππ
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,555 Reaction score 1,389 Jan 11, 2024 #9 Ahahaha kutangulia sio kufika naona Azam waliona wamewin sn sasa mwenye picha zake za HD kajibu mapigo
Ahahaha kutangulia sio kufika naona Azam waliona wamewin sn sasa mwenye picha zake za HD kajibu mapigo
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,631 Reaction score 11,890 Jan 11, 2024 #10 UDSM Alumni said: Ahahaha kutangulia sio kufika naona Azam waliona wamewin sn sasa mwenye picha zake za HD kajibu mapigo Click to expand... Hata uchambuzi hawawezi
UDSM Alumni said: Ahahaha kutangulia sio kufika naona Azam waliona wamewin sn sasa mwenye picha zake za HD kajibu mapigo Click to expand... Hata uchambuzi hawawezi
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,345 Reaction score 108,442 Jan 11, 2024 #11 Mwanzo walishatangaza coverage zitakuwepo nadhani kupitia TVE... Naamini KBC, UBC zitaonesha pia...
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Jan 11, 2024 #12 Afadhali. Azam TV sijui watabadilsha ile slogan yao kuhusina na kuonyesha haya mashindano
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,571 Reaction score 16,243 Jan 11, 2024 #13 Ni kukosa mipunga tu wakuu ila king'amuzi cha kuwa nacho ni Dstv tu
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,818 Reaction score 47,138 Jan 11, 2024 #14 Asanteni DSTV, Greatest Of All Time said: Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi. View attachment 2868685 Click to expand...
Asanteni DSTV, Greatest Of All Time said: Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi. View attachment 2868685 Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,117 Reaction score 1,249,279 Jan 11, 2024 #15 Sawa sawa
M Msukumakizazi JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 2,599 Reaction score 2,089 Jan 11, 2024 #16 Kwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu?
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,499 Jan 11, 2024 #17 Nilikua napata ukakasi mpira kuoneshwa TVE je singeli na mwamposa wangeonesha wapi
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,067 Reaction score 23,676 Jan 11, 2024 #18 Mbaga Jr said: ππ Ety kutangulia sio kufika ππ Click to expand... Wanajisahau kuwa wao ndio walitangulia kwa kila kitu kwenye digital satellite runinga
Mbaga Jr said: ππ Ety kutangulia sio kufika ππ Click to expand... Wanajisahau kuwa wao ndio walitangulia kwa kila kitu kwenye digital satellite runinga
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,067 Reaction score 23,676 Jan 11, 2024 #19 Msukumakizazi said: Kwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu? Click to expand... Duuuh! We jamaa unazingua sasa, hicho cha 24000 kimebeba hadi kifurushi cha 10000
Msukumakizazi said: Kwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu? Click to expand... Duuuh! We jamaa unazingua sasa, hicho cha 24000 kimebeba hadi kifurushi cha 10000
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,302 Jan 11, 2024 Thread starter #20 Watu8 said: Mwanzo walishatangaza coverage zitakuwepo nadhani kupitia TVE... Naamini KBC, UBC zitaonesha pia... Click to expand... Umesoma tangazo vizuri?
Watu8 said: Mwanzo walishatangaza coverage zitakuwepo nadhani kupitia TVE... Naamini KBC, UBC zitaonesha pia... Click to expand... Umesoma tangazo vizuri?