huo wanaoufanya ndio udini wa kutweza dini za watu, huwezi kufanya impersonification ya kujifanya wewe askofu wakati ni mhuni tuu, huu ndio udini wa hali ya juu, ni kudhalilisha dini za watu. propaganda hizi ni ujinga.
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
Talaaniwa hawa😆😆😆

TEC jamaa wapo vizuri sn mambo yao yamekaa kisomi snhuo wanaoufanya ndio udini wa kutweza dini za watu, huwezi kufanya impersonification ya kujifanya wewe askofu wakati ni mhuni tuu, huu ndio udini wa hali ya juu, ni kudhalilisha dini za watu. propaganda hizi ni ujinga.
TEC hawajasemea dini yeyeto, hawajakemea dini yeyote, au dhehebu lolote, wametoa waraka wao na wakapeleka kwa waamini wao,
Mbona kama wamekusanyana kusanyana toka Tabata tu?
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
Amini viongozi wa Catholic kumbe wana ubongo bwana. Afu pia njaa ndo zinawasumbua hawa Chawa wengine wa Kiroho.TEC jamaa wapo vizuri sn mambo yao yamekaa kisomi sn
Duh...!, ila usiwate ni Maaskofu feki, please, Askofu ni Askofu tuu, kuna Maaskofu wa kupewa daraja la uaskofu, anointed kama Maaskofu wa Katoliki na kuna Maaskofu wa kujipa uaskofu kama hao na wote ni Maaskofu!.
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
hayo ni mashetani yaliyozoea kula sadaka za watu, hata hamna haja ya kuwasikiliza.
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
SureAmini viongozi wa Catholic kumbe wana ubongo bwana. Afu pia njaa ndo zinawasumbua hawa Chawa wengine wa Kiroho.
Unashangaa kupiga gym wakati Yesu aliwaambia Wanafunzi wake wauze kanzu wanunue mapanga si ndo ninyi mnajinasibu kwa dini zenu?Askofu anapiga gym
Maakofu gani hao wamepiga vitambaa vya Tetroni😆😆😆
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
Siwezi kumbeza mpakea mafuta wa Bwana.
View: https://youtu.be/FnDTh7V6aZoSiwezi kuongeza neno bali naomba muwasikilize nyinyi wenyewe!
Hata kutaja madhehebu wanayoyaongoza wameshindwa!
Hata Dressing codes zao ni utata mtupu!
Ni kama vile nguo hizo zimeshonwa kwa mkupuo na kisha kitengo maalumu kikapewa ili kiingie kazini.
Clip iko wazi hapo jisikilizieni wenyewe halafu kila mtu na uelewa wake tafadhali.
TEC wako sahihi sana, ndio maana milio imekuwa mingi.huo wanaoufanya ndio udini wa kutweza dini za watu, huwezi kufanya impersonification ya kujifanya wewe askofu wakati ni mhuni tuu, huu ndio udini wa hali ya juu, ni kudhalilisha dini za watu. propaganda hizi ni ujinga.
TEC hawajasemea dini yeyeto, hawajakemea dini yeyote, au dhehebu lolote, wametoa waraka wao na wakapeleka kwa waamini wao,
Yaani hawa Matapeli wanataka kujifananisha na Katoliki..... What a joke!!