he he he, kweli ulikuwa umetingwa.
Umekubali haraka kuliko harage la Mbeya.
Ila, weka sheria zako wazi kabisa, kama mnarudiana ajue do's na dont's zako na wewe pia ujue zake.
Ila, usituhakikishie hajawa na mtu mwingine tangu akuache, watu wazima wanayaelewa hata mambo.
Hapa Hajaoa/Kuolewa Mtu!

Ha ha ha ha kijana umenifurahisha sana, hongera kwa kurudisha uhusiano hakikisha makosa ulofanya hayajirudii tena na am sure umejifunza kutokana na makosa.
Suruali za kubana RUKHSA au bado UNANUNA Mkuu!? Good luck and all the best.