Hatima ya upinzani na Kibonzo cha Masoud Kipanya

Tume iliopo ni huru kwa mujibu wa sheria na katiba sio kwa mujibu wa Mtazamo wako
Tume ipo huru kwa mujib wa sheria, lakin angalia hiyo sheria inampa rais mamlaka ya kcuhagua wajumbe watume. Inamaanisha kuwa rais anaweza i control tume na tume isifanye lolote.
Hiyo sheria irekebishwe
 
Hapa sio kujikuta na kuumizwa, upinzani umeumizwa kwa makusudi na dola na vyombo vyake. Na sasa Dola inajitengenezea plan B ya upinzani kwa kumtukuza homeboys Shibuda/Cheyo na Mbatia wale kindakindaki sasa ni mashetani na watumwa na mabeberu.

Zitto, Lisu, Mdee, Mbowe, Msigwa na Seif wao wanatakiwa kusifu na kutukuza kama watachagua magongo yawatoke.

Wajuvi waliona haya na mtu wa kwanza alikuwa Lisu utamu wake ni sasa vyuma vinawagusa na untouchables. Hii ndio Africa na utakumbuka zaidi jiwe likitoka madarakani jinsi wananzengo wanamaanisha nini kukaa kimya.
 
Huyu jamaa anang'ata na kupuliza leo upande fulani unacheka,kesho upande mwingine unanuna
 
Watakuwepo wengi tu kupitia CCM.
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015.
 
Mkuu nani victim apa? Mwananchi au Serikali?
 

Attachments

  • IMG-20181114-WA0001.jpg
    54.9 KB · Views: 24
Kwa hiyo kwa akili yako, UPINZANI ukiwa mahututi hapa nchini, ni jambo la kushangilia? Hakuna serikali imara bila upinzani imara. Na mbaya zaidi, madhila ya Upinzani hapa kwetu yanasababishwa kwa kiasi kikubwa na njama ovu za serikali iliyoko madarakani.

Lakini kwa taarifa yako, mazingira haya magumu ndio yanachagiza uimara wa chama cha upinzani. kwa hiyo utasubiri sana. Wengi wameitabiria kifo CHADEMA, kwa mfano, lakini wao ndio wamefutika. mfano mzuri Stephen Wasira. angalia usije ukaungana nao
 
Upinzani kwisha habari yake ..... viongozi wa vyama vyote washaingia Ikulu tunamsubiri Mbowe najua na yeye anatamani kwenda Ikulu kuonana na Mh. JPM but usijali na wewe Mbowe siku yako itafika ya kwenda kumsalimia Mkuu wa nchi
 
Huo mfano sio mzuri kwakuwa mimi ni mshabiki wa timu ya Simba.
 
Hivi CCM inaona raha gani kupambana na mpinzani ambaye ni kama amefungwa mikono na miguu??

Hivi hamuoni namna vyombo vya dola kama vile Polisi, Immigration, maDC & maRC waki-support CCM kwa asilimia 100??
 
Na akieka vyengine pia uunge mkono hoja
 
wa mujibu wa gwiji la habari za kiuchunguzi alipelekwa marekani na mabeberu yanatuonea wivu ili kufundishwa jinsi ya kuchora katuni za kuvunja amani. ni kweli eti MR INZI WA KIJANI
 
Endeleeni kujifariji. Siku wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi watakapohamua kutangaza matokeo ya ukweli ndio siku midomo yenu itakapojaa nzi kwa mshangao.

CCM bila polisi tume nk ni wepesi Kama toilet paper
 
Endeleeni kujifariji. Siku wakurugenzi na wasimamizi wa uchaguzi watakapohamua kutangaza matokeo ya ukweli ndio siku midomo yenu itakapojaa nzi kwa mshangao.

CCM bila polisi tume nk ni wepesi Kama toilet paper
kumbe bado kuna watu wazima wanajidanganya hadi leo??

Hii Nchi ni sisi M mwanzo mwisho wala usijidanganye.

Kadri watu wanavojifanya wanaamka basi na wale waliokuwa kule mlimani wanazidi kujizatiti kwa mbinu mbali mbali kuhakikisha wanaojifanya wameamka hawafiki hata nusu ya mlima.

Yani mtu yupo mlimani anakuona wewe unataka kupanda akuache tuu?
Atakuporomoshea hata mawe uwende na maji huko.

Kama mtu kashindwa kujifunza mpaka yaliyojiri kule kisiwa cha Nchi ya pili basi huyo ni zezeta wa kutupwa.

Endeleeni kujipa moyo wa kitoto tu.

Fanya mambo yako aisee siasa inakupotezea Muda.

LABDA MIMI NAONA MABADILIKO YATALETWA NA SERIKALI YA CCM TUU NA SIO VINGINEVYO MNAVOJIDANGANYA.

MABADILIKO YATALETWA NA CCM

MABADILIKO YATALETWA NA CCM

MABADILOKO YATALETWA NA CCM

MABADILIKO YATALETWA NA CCM

MABADILIKO YATALETWA NA CCM.

UPINZANI MUSAHAHU

UPINZANI MUSAHAU

UPINZANI MUSAHAUUUUUU
 
pamoja na yote bado upinzani unasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…