Nikifufukammekwisha
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 260
- 6
Mkuu Mnyoofu
Tungekuwa na usalama wenye mawazo safi kama yako, miaka kumi ingekuwa mingi kuwamaliza wahujumu uchumi.
Tatizo hawa jamaa wanadhani DNA ni ya kupima watu wanaokata watoto tu. Hawajui kuwa hiyo mashine ni moja ya nyara za taifa
Jamani wanaJf huko aliko Manji any news? Maana kuna watu hata hujui uombe Mungu wafe ama waishi! As we know sala must be specific ili ijibu
Duh,leo presha zitatupanda sana.Asubuhi ilikuwa juu baada ya tetesi za akina Rostam na sasa imepadna tena baada ya tetesi hii.Lakini yote kheri
Mimi kwakweli baada ya habari ya Karamagi (TAYARI), RA na Warioba (NJIANI) kutozaaa matunda yoyote, NAANZA KUWA NA WASI WASI NA VYANZO VYA HABARI VYA BREAKING NEWS ZA JF.
TAFADHARI HAKIKISHENI VYANZO VYENU KABLA HAMJAPOST HAPA.
hata mara ile ya kwanza niliwaambia hapa ndani ya JF alikunywa sumu na hakuwa na malaria wala nini.... kama kanywa tena ni mara ya pili itakuwa!!!
Mimi sasa nimeanza kukosa imani kabisa kwa tukio la jana.
Watu tumetoa news kwa rafiki zetu saizi tunaonekana waongo jamani tuwe makini sana na hizi habari zilizo vunjika vunjika.
Mimi kwakweli baada ya habari ya Karamagi (TAYARI), RA na Warioba (NJIANI) kutozaaa matunda yoyote, NAANZA KUWA NA WASI WASI NA VYANZO VYA HABARI VYA BREAKING NEWS ZA JF.
TAFADHARI HAKIKISHENI VYANZO VYENU KABLA HAMJAPOST HAPA.
jamani Christmas yote hii .. watu wanaenda gerezani .. this is the worst year for them 2008 .. wanatamani hii balaaa ingesubiri mpaka newyear ipite.
Ni tetesi tu Naima, usije ukanifunga na maneno yangu. Na nimeona sasa hivi MMJ amesema ameongea na Zakia, anadai hayuko Keko ni uzushi tu. Nenda thread "Karamagi, Zakia na Msabaha wako Keko?"
jamani Christmas yote hii .. watu wanaenda gerezani .. this is the worst year for them 2008 .. wanatamani hii balaaa ingesubiri mpaka newyear ipite.
Da naima vicomment vyako huwa vinaniacha hoi...... ila ni kweli xmass yao itakuwa segerea ila hawa wenzetu sio kama vibaka wa kawaida ambao hukaa miaka rumande kabla ya kesi zao kusikilizwa mahakamani.... hawa zao zitasikilizwa mapema na si ajabu x-mass wakawa nje kwa dhamana!