Kusema kweli idea yako ni nzuri, ila sijui ni nani atapanga hayo majengo kwa sasa kama serikali yenyewe inahamia Dodoma. Chukulia mfani wizara ya ardhi na makazi, utumishi, wizara ya fedha, wizara ya ujenzi, wizara ya mawasiliano, etc. Yale majengo sijui kwa makampuni ya kitanzania kama kuna yenye uwezo wa kuya- occupy commercially. It is likely wizara zinazohamia Dodoma zikaendelea kuya-maintain kwa gharama kubwa as liaison offices