Hatihati Ya Magufuli

Nadhani hata hao wenye huko mtandao sio wajinga wa kuanza figisu kwa ss bila shaka nao wanajipanga kuhakikisha wanauunda upya au kumkwamisha M/kiti, popote walipo, ndani au nje......watu walizoea mteremko na wizi hawawezi kuacha tu ghafla watolewe kwenye line.....
 
Huyu si Mungu aweze kumiliki watu wote kwa mamlaka aitakayo yeye, endeleeni kumpa sifa za kijinga, ila mwenyewe alishajuta hata kuwa rais means uwezo huo hana, sasa kwenye mtandao ni hadithi tu.
 
Hakukuwa na haja ya kupiga kura wakati ilikuwa ni kikao cha makabidhiano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…