Hatifungani ya miaka 5 Shariah CRDB

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,123
Reaction score
11,354

Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah.

· Faida Halal 12% ukiwekeza TZS
· Faida Halal 6% ukiwekeza USD
· Gawio mara 4 kwa mwaka
· Itadumu kwa miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako)
· Inafuata mkataba wa Ijarah

Wekeza kuanzia TZS 500,000 au USD 1000 na kuendelea.
 
Faida Halal...ukijua kucheza na vichwa vya watu raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…