hatasisi tunaweza

huyu nafikiria atakua ni alshabab
Huyu sio Alshabab ni Albanat, labda nikufahamishe kidogo kijana nini Alshabab na nini Albanat maana mimi niliwahi kuishi UAE, maana ya Alshabab ni kijana wa kiume na maana ya Albanat ni binti wa kike, usije ukakutana na jamaa akakuambia wewe ni Alshabab ukarusha masumbwi maana wewe ni kijana ila akikuambia wewe ni Albanat basi mtwishe makofi
 

asante kwa kunielewesha mkuu .........mi ni katika wale wanaokukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…