Hatari

Mkuu hiyo ni hasara ya kuwa na mtoto wa kiume hapo sasa mzazi huwa si mzazi tena ni bora kuwa na mtoto wa kike na wa kike huwa na manufaa ya kitajiri na uwe na matunzo ya kumfatilea na umchunge basi hapo utakuwa umeweni maisha na kike huwa na bahati ya kuzaliwa au bahati ya mtende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…