Noted @hakuomba kuzaliwa umemaliza kila kituwatoto kumsaidia mzazi sio lazima ni uamuzi wao ila wazazi wachache wakitanzania wanafahamu hilo, na watoto wanasaidia mzazi wakikumbuka kipindi mzazi alivyokuwa ana sacrifice kwa ajili yao wanalipa fadhila... sasa mtu katelekeza watoto halafu analia watoto hawamjali
Ndio maana ni muhimu kuwa vizuri kiuchumi ili ukizeeka usiwe tegemezi ukawasumbua watoto
Elon Musk aliwahi sema mtoto wake ni jukumu lake maana yeye ndio kachagua kuwa na mtoto, na dogo hakuomba kuzaliwa
Kila la kheriMwakani naweza kuoa[emoji2]
Ila usitutishe.
Kuhusiana na nini tenamzabzab toa muongozo
Tuendelee kuzi-process ama muda wa kuoa ndo huu.Kuhusiana na nini tena
Wee mzeya hukuwepo kwenye kikao cha mwisho? Hapana kioa ni mwendo wa kuzi process tuuTuendelee kuzi-process ama muda wa kuoa ndo huu
[emoji16][emoji16][emoji16] yani mawazo yako kama mimi sielewiHii thread ni ya kutiana stress. Sijui kwanini nimeifungua
Nikitu cha lazima kwa sababu utakuwa msumbufu kwa wake za watu na wachumba za watuKuoa ni option ya mtu. Sio kitu cha lazima. Haupungui chochote usipooa. Mjomba acha akili za kijijini huko mashambani. Kuoa ni personal sio societal.
Anza kutafuta katoto kengine hako kanaliwa na wakulungwa[emoji23]Kademu kangu ndo kamemaliza form 6, nakachunga kidogo na kukapa Muongozo, kakimaliza chuo naowa, kakibebwa na wana basi natafuta kengine ninakokajua vizuri
Naweza kuoa na kuwasumbua vilevile. Hiyo sio hoja kabisa.Nikitu cha lazima kwa sababu utakuwa msumbufu kwa wake za watu na wachumba za watu
Ila ukifumaniwa unakuwa na title fulani mume wa mtu fulani kafumaniwa sasa wewe ukifumaniwa na mke wamtu hujaoa watu wanasema yule kaka ni limaya lione kazi kumendea wake zawatu si atafute wake umeona ehNaweza kuoa na kuwasumbua vilevile. Hiyo sio hoja kabisa.
Mungu mwenyewe kwa sasa waamini...ameona mfumo mzuri ni ke na me waishi kwenye ndoa...ww na madesa yako huko unatuambia ndoa sio kitu muhimu[emoji15][emoji15]Wewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa?
Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivyo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova
Watu mliosoma bwana....yani Vitabu vya dini unaviona takataka kabisaa daah!Nani kakwambia kila mtua anaamini au lazima aamini kwenye hiyo bibilia yako?
Changu unakijua? Acha kulazimisha upupu wako uwe imani ya kila mtu.Watu mliosoma bwana....yani Vitabu vya dini unaviona takataka kabisaa daah!
AiseeWewe ndio mjinga kabisa. Serikali inatambua ndo lakini haikulazimishi kuoa. Ni societal pressure. Ni mkumbo. Ni trend. Binadamu mwenye akili sawasawa na thabit huwa hafati social norms, wala trends. Sawa?
Na kwa taarifa yako nimesoma kukuzidi wewe bogus unayekaa na kuandika uharo. Dunia haipo hivyo, watu hawaoi na maisha yanaenda vizuri kuliko wewe hapo na dhiki zako. Ova