ubena chifu
Member
- May 23, 2014
- 14
- 1
Wanajamii wenzangu,
Naomba kuchukua fursa hii kufikisha ujumbe kwa mkuu wa wilaya ya Temeke, mh. Sophia Mjema ajaribu kuwatolea ukali manispaa ya Temeke kusimamia usafi wa mitaro ya hapa Mbagala Rangi Tatu, kando ya barabara karibu na kituo cha daladala. Hali ni mbaya sana na harufu ndio balaa, mbaya zaidi pembeni watu wanauza mbogamboga na matunda.