Hata Libya, Misri na Iraq nao walikuwa wanawaza kama wewe lakini kwa sasa hawawezi kuwaza kutamani kuwaza,kama wewe.
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!
Nafasi pekee ya Bw.Lowasa na CHADEMA wake ni labda waasi waingie porini kwa kutumia fedha zao walipe wagaidi na kuanza kufanya nchi isitawalike lkn wakifanya hivyo kama wana huo uwezo kumbuka WatanZania watawageuka na kuwaona wanaleta machafuko pmj na UN na wengineo!
Kumbuka mpaka sasa hivi ukisikia CCM na Serikali wako kimya usifikiri wamelala wanaangalia kila kitu na wanajipanga kumbuka wana uwezo tu wa kufungia chombo chochote kile cha habari pmj na JF na hakuna kitu tutafanya! Hivyo kwa kifupi kama Bw.Lowasa kweli anataka kwenda Upinzani basi naweza kusema kama wazungu wasemavyo yuko out of touch with reality!
Lowassa hata akienda chama gani hatashinda urais, Halafu mnapozungumzia ukawa ya lowassa je mmejumuisha vyama vingine kama CUF na wengine? Naona hapa kuna makubaliano ya chadema na lowassa sio lowassa na ukawa, kwa hiyo kuna uwezekano wa lowassa kwenda chadema na akagombea kwa chadema sio ukawa, kwa sababu vyama vingine havijaonyesha kukubaliana na mpango huo,
Hapo ndio ccm watatumia ile ile ya kugawa kura wao wapite kama mwewe,
Mkuu mabadiliko si kitu smooth cha mara moja, Misri will undergo the period of instability hata kwa 10yrs ila watafikia tu demokrasia ya kweli. Hata Urusi baada ya mapinduzi ya 1917 walipitia civil war kabla ya mambo ku stabilize, ndivyo inavyokuwaga, mnachokiita amani (mimi nakiita utulivu) ndio mental obstacle to really progress, jua kwamba contradiction and conflict are the source of true development.
Namuunga mkono mtoa mada,
Sijawahi ona wapumbavu wa akili kama wewe....
Kwahiyo nchi zote ambazo vyama pinzani wanashinda hakuna jeshi?? KANU iliyoangushwa na NARC haikua na jeshi??
UNIP haikuwa na jeshi??
Acha kuwaza kama maiti....
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!
Nafasi pekee ya Bw.Lowasa na CHADEMA wake ni labda waasi waingie porini kwa kutumia fedha zao walipe wagaidi na kuanza kufanya nchi isitawalike lkn wakifanya hivyo kama wana huo uwezo kumbuka WatanZania watawageuka na kuwaona wanaleta machafuko pmj na UN na wengineo!
Kumbuka mpaka sasa hivi ukisikia CCM na Serikali wako kimya usifikiri wamelala wanaangalia kila kitu na wanajipanga kumbuka wana uwezo tu wa kufungia chombo chochote kile cha habari pmj na JF na hakuna kitu tutafanya! Hivyo kwa kifupi kama Bw.Lowasa kweli anataka kwenda Upinzani basi naweza kusema kama wazungu wasemavyo yuko out of touch with reality!
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!
Wazungu wanasema chama chochote kilicho tawala zaidi ya mia 40 barani afrika hakiwezi kuwaletea maendeleo wananchi husika.Isipokuwa ni kuwanyonya wanachi kama walivyofanya wakoloni.Chama hicho inatakiwa kiondoke madarakani.
Haya Libya, Misri, Iraq, Yemen walikuwa na mawazo kama yako lakini sasa wamejifunza wanajuta. Kwa hiyo unataka kutuambia nasisi watanzania tujaribu mawazo hayo ili tuje pata tabu ya maisha kwetu na familia zetu? ?Yaan ..hapo mwisho umenifanya ...ninyanyuke....ccm waondoke tu tutakuwa kwrnye kipindi cha mpito