Hatari Sana Hii

Jamaa alivyoanguka mara ya kwanza akajifanya kaishiwa nguvu kabisa ... sasa mbona pikipiki ilivyomfuata alipata wapi nguvu za kukimbia mara ya pili
 
Utamu wa bodaboda upepo bwana!
Ila ikikulaza chini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…