shakur kimboka
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 275
- 365
We unadhani kuna umuhimu gani wa kuweka waziri wakilimo, afsa kilimo wa kijiji nk, wizara nzima kazi yao ni nini kama siyo kuhakikisha kuna efficiency and continuous utilization of resources thought a yearHuu ni msimu wa mvua mkuu, zao la nyanya halihimili mvua kwa hiyo ukuaji wake na uzalishaji ni changamoto hivyo kupelekea bei kuwa juu, sasa hapa serikali inaingiaje, ili nyanya zishuke bei inategemeana na uchache wa mvua.Halafu kuna binadamu wanafikiri kilimo ni rahisi kama kutema mate.
Nb. Lima zako uuze shilingi 10/- nyanya moja.
Kumbuka mwaka 2016,2017 nyanya zikikosa bei na kumwagwa hovyo.Hivyo sasa kuwa bei juu ni muda wa kufidia hasara walizopata miaka 3 mfululizo.Tuache sok liamue."Kama unga ni ghali nunueni mchele" kwa sauti ya HBashe. "If bred is expensive try a Cake" kwa sauti ya Mke wa Mfalme Luois of XVI (France).... Kama nyanya ni "ghali nunua tomato source" kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa uchumi...japo kuwa serikali imekuwa ikijinasibu kuwa inaboresha mazingira ya ki uchumi kwa kila Mtanzania ...SIKWELI... Juzijuzi tumeshuhudia mh Rais anasema serikali haiwezi kumuingilia mkulima na kumpangia bei kwa mazao yake...hili ni jambo jema sana tena sana kama ingekuwa hivi....lakini hii kauli haisadifu uhalisia wa mkulima kujipangia bei, wakulima bado wanapangiwa bei...serikali yaweza kuwa ina nia njema lakini ni ukweli kuwa mkulima anayefaidi haya si yule mlengwa wa kule kijijini wa jembe la mkono...hizi kauli zinazidi kuwaneemesha wachuuzi na walanguzi wakubwa pamoja na madalali walioko katikati huku mlaji wa kawaida na mzalishaji wa kwanza wakiendelea kuugulia maumivu..... Serikali ije na majibu ya kupata ufumbuzi wa mfumuko wa bei uliojitokeza hasa miezi ya hivi karibu hasa kwa bidhaa muhiu kwa watu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu hakuna mfumuko wa Bei nyanya kipind Cha mvua na kumbuka nyanya haihimili mvua kabisa na zikiwa chache lazima zipande sababu wauzaji huzifuata mbali kumbuka Kuna usafiri,Kodi, na Bei ya kununulia mpaka ifike sokonibalimar,
shkamo teacher.
siamini kama kuna mkulima ana maisha mazuri sasa kwa nyanya kuuzwa shilingi 500 kwa kipande. kama yupo nioneshe mmoja.
suala ni kwamba serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei.
elewa kwamba vitu vinaweza kuuzwa bei ya chini na bado wazalishaji na walaji wakanufaika.
Wacha wakulima wauze nyanya1 hata kwa 1000 wanufaike na jasho laonyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
duh bora sisi tunaokula chukuchuku miaka yotenyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
Mabeberu wanazidi kubana mbupu za watz wanyongenyanya moja kwa sasa inauzwa shilingi za kitanzania 500.
muuzaji hapepesi macho wala wamung’unyi maneno.huwezi amini ila bahari ndo hiyo.
sijajuwa bado kama nchi imewekewa vikwazo au serikali iliyopo imefeli kusimamia uchumi wa nchi. miradi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi nayo ujenzi wake kuna suasua. pita pale gold star dar es salaam uone. hakuna kitu mtu wangu kuna manondonondo tu na nyenzo nyenzo kama vile kuna kazi lakini kiuhalisia hakuna kazi inayofanyika.
madege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
magufuli nchi imemshinda?
View attachment 1351771
Hahaah,kwa nini wasiruhusu tupike nayo selfie ili vizazi vijavyo wajue tuliishi peponi mkuumadege yetu nayo ukipita pale karibu na airport yapo yamepaki tu kama ng’ombe wapo zizini.
Hahaha ndo hali halisiTembele la mia 200 nyanya za 1000 [emoji22]