Hatari lakini salama.(unaweza usiamini)

Simba ni mpaka achokozwe. Na akiwa ameshiba hana shida kabisa. Ila usije ukajaribu.
 
tatizo mzungu anaweza hata kumbusu huyo simba au hata mbwa mdomoni kabisa, lakini kumbusu mwafrica anasema ni sokwe....wababuzi hao usiwaone wakija kufurahia wanyama wetu huku africa. kwao hawaaminiki. (NB:lakini sio wote).
 
Uchawi wa kizungu huo kama nyie wasukuma mnavyocheza na nyoka!!!
 
ni mazingaombwe haya jamani!!!kha!
 
hiyo ni sanamu ya simba imevaliwa na mtu bana
 
ndio maana bado kidogo tufungwe na Yanga kisa hawa wazungu wamempa dawa za kuwa mzembe huyu simba ila iko siku kila mtu ataishangilia Simba.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…