HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 196
- 250
Khatari sanaInasikitisha sana
We acha tuInasikitisha sana
Serikali ina watu, ndiyo hao wanasema inaupiga mwingi. Kwa hiyo isishangae kuona wengine wanasema kuna upiga mwingi.Yani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa makusudi.
Wanafanya kila aina ya mambo. Kuhakikisha raia wanaishi maisha magumu lakini kila wakifanya hila zao Mungu anazipindua.
Wametuekea tozo. Hili tushindwe kuhifadhi hela zetu na kutumia. Wazee wetu.
Tulivyo lalamika wakatuambia tuhamie burundi
Walivyo ona bado. Tunakomaa. Waka tupandishia. gharama za maisha kwanza.
Wakatupandishia gharama za kuingiza umeme wakaona haitoshi wakatupandishia gharama za Pembejeo
wakaona haitoshi wakatuletea. Mgawo wa Umeme Ambao. Hatujui wapi umetokea
Wakaona haitoshi. Wakatukatia maji wakaona haitoshi wakapandishia Mafuta
wakaona haitoshi.
Waka tupandishia nauli. Kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea wakaona haitoshi Wakatupandishia sukari yani. Kila kukicha wanafanya mambo
Yakuhakikisha mtu wa hali ya chini azidi kubaki chini.
Lakini pamoja na Juhudi zao hizo Mungu bado. Hayupo. Upande. Wao
wananchi wa hali ya chini bado tupo Mijini hatuondoki. wataondoka wao, sisi watatuacha hapa hapa
Lakini pamoja na yote haya bado utaona kuna watu wanaishabikia Serikali na kusema inaupiga mwingi. Mimi huwa najiulizaga hivi hawa wanaosema anaupiga mwingi wanaishi Nchi hii au haya ninayoyaona mimi wao hawayaoni? Inakuaje?
Yawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.kYani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa makusudi.
Wanafanya kila aina ya mambo. Kuhakikisha raia wanaishi maisha magumu lakini kila wakifanya hila zao Mungu anazipindua.
Wametuekea tozo. Hili tushindwe kuhifadhi hela zetu na kutumia. Wazee wetu.
Tulivyo lalamika wakatuambia tuhamie burundi
Walivyo ona bado. Tunakomaa. Waka tupandishia. gharama za maisha kwanza.
Wakatupandishia gharama za kuingiza umeme wakaona haitoshi wakatupandishia gharama za Pembejeo
wakaona haitoshi wakatuletea. Mgawo wa Umeme Ambao. Hatujui wapi umetokea
Wakaona haitoshi. Wakatukatia maji wakaona haitoshi wakapandishia Mafuta
wakaona haitoshi.
Waka tupandishia nauli. Kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea wakaona haitoshi Wakatupandishia sukari yani. Kila kukicha wanafanya mambo
Yakuhakikisha mtu wa hali ya chini azidi kubaki chini.
Lakini pamoja na Juhudi zao hizo Mungu bado. Hayupo. Upande. Wao
wananchi wa hali ya chini bado tupo Mijini hatuondoki. wataondoka wao, sisi watatuacha hapa hapa
Lakini pamoja na yote haya bado utaona kuna watu wanaishabikia Serikali na kusema inaupiga mwingi. Mimi huwa najiulizaga hivi hawa wanaosema anaupiga mwingi wanaishi Nchi hii au haya ninayoyaona mimi wao hawayaoni? Inakuaje?
SawaYawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k
Napendekeza huu uzi uwe printed na kiwekwa kwenye frame na kusambazwa nchi nzima.Yani kama si Mungu leo hii nusu ya Watanzania ingekua kila siku wanakimbia mijini maana hii hali khatari sana kila kukicha serikali ya CCM inatafuta ugumu wa maisha kwa watu hali ya chini kwa makusudi.
Wanafanya kila aina ya mambo. Kuhakikisha raia wanaishi maisha magumu lakini kila wakifanya hila zao Mungu anazipindua.
Wametuekea tozo. Hili tushindwe kuhifadhi hela zetu na kutumia. Wazee wetu.
Tulivyo lalamika wakatuambia tuhamie burundi
Walivyo ona bado. Tunakomaa. Waka tupandishia. gharama za maisha kwanza.
Wakatupandishia gharama za kuingiza umeme wakaona haitoshi wakatupandishia gharama za Pembejeo
wakaona haitoshi wakatuletea. Mgawo wa Umeme Ambao. Hatujui wapi umetokea
Wakaona haitoshi. Wakatukatia maji wakaona haitoshi wakapandishia Mafuta
wakaona haitoshi.
Waka tupandishia nauli. Kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea wakaona haitoshi Wakatupandishia sukari yani. Kila kukicha wanafanya mambo
Yakuhakikisha mtu wa hali ya chini azidi kubaki chini.
Lakini pamoja na Juhudi zao hizo Mungu bado. Hayupo. Upande. Wao
wananchi wa hali ya chini bado tupo Mijini hatuondoki. wataondoka wao, sisi watatuacha hapa hapa
Lakini pamoja na yote haya bado utaona kuna watu wanaishabikia Serikali na kusema inaupiga mwingi. Mimi huwa najiulizaga hivi hawa wanaosema anaupiga mwingi wanaishi Nchi hii au haya ninayoyaona mimi wao hawayaoni? Inakuaje?
Mimi najua ninachokifanya kisemaYawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k
Hakuna wanaosifia wengi hawapatiYawezekana hao wanoisifia serikali kwamba inaupiga mwingi wanachokipata Kwa kusifia ni zaidi ya umeme,maji,Huduma Bora za afya n.k