Kuna siku mimi kidgoooo nikagonge ka ist sijui ka vits yn imagine taa imeruhusu halaf km mita mbili hivi kajamaa kakawa kumbe kanaingia kulia mtaani.na kulia kwenyewe hawez pita mpk apishwe na gari ziliko upande wapili...kakawasha indicator ghafla halaf kakasimama kusubiri kapishwe yn nilifunga breki mpk nilihisi zilitaka kufyatuka cz nikisikia saut za ajabu huko chini ya gari...ningemgonga sijui angenilaumu...madereva wa dar wanajifunzia uwani then anatoka kwenda nayo barabaranDuh,hill suala la indicator madereva wa Dar wanalipuuzia sana, yaani imefikia dereva anapoanza kukata kona ndio anawasha indiketa, yaani inakera sana na ni hatari sana.