Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Miezi michache iliopita kuliripotiwa kukamatwa kwa BVR machines huko mikoani na week chache zilizopita kuna waliokamatwa tena machine hizo maeneo ya Mwenge Dar es salaam.
Wasiwasi wangu; kama kuna hizo machine zilizokamatwa je haiwezekani kuwepo na machine nyingi zaidi ambazo zimetumika kwa kazi hio haramu bila kukamatwa?
Je, kuna uhakikisho gani kuwa Vitambulisho hivyo havipo mtaani kwa baadhi ya watu?
LAKINI
Kuna majina mengi sana ya watu ambao tumejiandikisha na majina yetu hayapo kwenye list ya Wapiga kura ya NEC na kwa taarifa zilizozagaa mtaani ni kwamba NEC itaruhusu watu ambao wana vitambulisho hivyo lakini majina yao hayapo kwenye list iliyotolewa na NEC kupiga kura.
Swali ni kwamba
Je, kwakua vitambulisho hivi havipo kwenye NEC systems (japo ni halali) si vitachanganywa na vitambulisho vile feki? na kwakua hakuna mfumo tena wa uhakiki je huoni kuwa NEC wataingiza majina mengine mengi ya watu FEKI kupiga kura FEKI zenye mwelekeo wa kum-favor mgombea fulani?
Mimi binafsi nimekubali kushindwa, naomba NEC nao wasiruhusu watu kupiga kura ambao majina yao hayapo pale kwenye List ili kulinda uwezekano wa vitambulisho vile feki kuingizwa kwenye matumizi haya haramu. VINGINEVYO
NEC watoe maelezo mashine zile haramu ziliishia wapi na mashine zile zilizotumika zilihifadhiwa wapi hadi leo hii.