Hatari itakayoikumba Taifa

Hatari itakayoikumba Taifa

STEVEN SIMEON

Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
62
Reaction score
35
HATARI ITAKAYOLIKUMBA TAIFA
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya jpm kwa mazuri inayoyafanya ikiwemo kupambana na maovu,lakini naikosoa vikali kwa kubinya demokrasia na kuwanyima mikopo wanafunzi wa elimu ya juu

ELIMU YA JUU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida taratibu za utoaji mikopo zimekuwa zikibadilika badilika bila kujali mikataba ambayo ipo baina ya wakopaji na wakopeshaji,

Kwanza kabisa si halali kwa serikali kuvunja mkataba na mwanafunzi ambaye tayari wamekwisha mpatia mkopo kwa kisingizio cha kukosa sifa na vigezo,

Pili kila mwaka huwa una vipaumbele vyake vya kutoa mikopo.

Je serikali inapotaka kufanya upembuzi kwa wanafunzi wanaoendelea kwa kuangalia vigezo vya mwaka huu na si vigezo vya mwaka wao hilo ni kosa kisheria lakini pia unyanyasaji unaowafedhehesha watoto wa masikini,kuweka vipaumbele ni vyema vizingatie pia kuwa si kila mtu anatakiwa kusomea vitu vyenye umhimu kwa wakati huo kwani kila mtu huwa na ndoto maishani mwake,

Nne wanafunzi wote wa elimu ya juu tumefedheheshwa na uhakiki wa mara kwa mara na usiokuwa na mwiso japo una masilahi kwa taifa ni lazima pawepo na mda maalum ili tupate mda wa kuendelea na masomo yetu kwa utulivu,

Tano ningependa kuwaomba wanazuoni wote tuendelee kuwa na mshikamano wa dhati wa kutetea haki zetu, za taifa letu, haki za wanyonge na maskini wa taifa hili pasipokuwa na uoga kwani sisi ndio wenye kutoa dira ya taifa letu linakotakiwa kwenda,

Mwisho tuendelee kuiombea serikali yetu, wabunge, mahakama, na wananchi wenzetu wakiwemo wa kagera(tetemeko),na wenzetu waliokosa mikopo. SOLIDARITY FOREVER TUSITINGISHIKE.
 
HATARI ITAKAYOLIKUMBA TAIFA
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya jpm kwa mazuri inayoyafanya ikiwemo kupambana na maovu,lakini naikosoa vikali kwa kubinya demokrasia na kuwanyima mikopo wanafunzi wa elimu ya juu
ELIMU YA JUU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida taratibu za utoaji mikopo zimekuwa zikibadilika badilika bila kujali mikataba ambayo ipo baina ya wakopaji na wakopeshaji,kwanza kabisa si halali kwa serikali kuvunja mkataba na mwanafunzi ambaye tayari wamekwisha mpatia mkopo kwa kisingizio cha kukosa sifa na vigezo, pili kila mwaka huwa unavipaumbele vyake vya kutoa mikopo je serikali inapotaka kufanya upembuzi kwa wanafunzi wanaoendelea kwa kuangalia vigezo vya mwaka huu na si vigezo vya mwaka wao hilo ni kosa kisheria lakini pia unyanyasaji unaowafedhehesha watoto wa masikini,kuweka vipaumbele ni vyema vizingatie pia kuwa si kila mtu anatakiwa kusomea vitu vyenye umhimu kwa wakati huo kwani kila mtu huwa na ndoto maishani mwake,nne wanafunzi wote wa elimu ya juu tumefedheheshwa na uhakiki wa mara kwa mara na usiokuwa na mwiso japo una masilahi kwa taifa ni lazima pawepo na mda maalum ili tupate mda wa kuendelea na masomo yetu kwa utulivu,tano ningependa kuwaomba wanazuoni wote tuendelee kuwa na mshikamano wa dhati wa kutetea haki zetu,za taifa letu,haki za wanyonge namaskini wa taifa hili pasipokuwa nauoga kwani sisi ndio wenye kutoa dira ya taifa letu linakotakiwa kwenda, mwisho tuendelee kuiombea serikali yetu,wabunge,mahakama, na wananchi wenzetu wakiwemo wa kagera(tetemeko),na wenzetu waliokosa mikopo. SOLIDARITY FOREVER TUSITINGISHIKE.
mmm haya sawa
 
Tuvumilie jamani raisi wetu bado anawaza Juu ya hao wanafunzi waliokosa mkopo,
 
Back
Top Bottom