Huyo hayupo tupo sisi NOW! Matusi na sifa kwake hazibadili chochote kwetu bali tunakwendaje mbele kuanzia hapa tulipo!Hii pia ni moja ya effect ya Jiwe , kimsingi jamaa alikuwa na dira yake mwenyewe Tu kichwani anayoijua yeye peke yake ,na ameondka nayo , waliobaki hawajui lolote waende wapi , warudi wapi ,waendelee na yaliyopo au warudie ya nyuma ... Wote wapo confused , Wapinzani agenda zao walishazipaki kwenye makabati may be wazirudie wakizikuta hazijaliwa panya poa .....
Ili uende mbele lazima ujue chimbuko la tatizo chief , na kuna vitu lazima viwekwe Sawa ndo mrudi sehemu sahihi , na hii lazima high command ifanye reformation sababu Hadi sasa tunatembelea kwenye uelekeo wa jiwe japo hatujui dira ni ipi mana kasepa nayoHuyo hayupo tupo sisi NOW! Matusi na sifa kwake hazibadili chochote kwetu bali tunakwendaje mbele kuanzia hapa tulipo!
Upo sahii Sana mkuu, Yani tumefika sehem kwamba Maghufuli ndo alikua bora Kati ya watanzania ml 60, genge lake halitaki kuamini kwamba KWA Sasa tupo na uongozi mpya, that's hata kipindi Cha kwanza genge Hili lilitaka awam hii iwe ya tano badala ya sitaHuyo hayupo tupo sisi NOW! Matusi na sifa kwake hazibadili chochote kwetu bali tunakwendaje mbele kuanzia hapa tulipo!
CCM watoe dira haraka! Now hawana katibu mkuu, mwenezi na mwenyekiti! Wasiache hili ombwe ni hatari! Wachukue hatua waoneshe dira NOW!Bora CCT na CCJ na CCG