Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

Iw
tutaona mengi....I think Makonda awe na wataalamu wa afya ya akili pembeni kuna special cases kama huyu dada ya kupima kama mzima,lol................ila on another hand what if anachoongea ni kweli?
Iwe ukweli au uongo dada wa umri huo kulilia baba yangu ni fulani ni upumbavu
 
Hivi hiki anachokifanya huyu rc kina tija gani kwa taifa? Mbona anafanya mambo ya kitoto hivi? Ameshindwa kufanya mambo yenye tija kwa taifa badala yake amelenga kuwachafua wanaoukosoa utawala wa Rais Magufuli. Atasifiwa na wasiojielewa, kuna wizara na idara zinazohusika na mambo hayo toka zamani. Yeye nini kinamwasha?
 
Miaka yoooote hiyo alikuwa wapiiiii.....hats magazeti ya shigongo hajawahi andikwa eti nimehangaika sana wala sijafanikiwa......huu mchezo umekuja mda huu watu waache kuwaza maandalizi ya sherehe za muungano waanze kujadili ooooh!!!!!sijui lowasa Mara oooooh!!!!!askofu nani sijui..... Mara alokatwa vidole......watanzania mmeshatolewa kwenye reli sababu ya kupenda umbeaaaa... wanajua kucheza na akili zetu kweli kweli yaniiii.
 
Mmmhhhh
Ila sio kwa kufanana huko aisee

Mapovu yanahtajika kupinga hapo
 
Huyu ni mtu mzima, ila hana akili nzuri.
Kuna mashaka kama kweli anamtafuta baba yake. Anaenda kwa Makonda kutafuta nauli, namba ya simu au njia nyingine ya mawasiliano?
Pili, siyo kweli kwamba DNA inathibitisha pasipo shaka kwamba mhusika ni baba mzazi, kinachoonekana ni uhusiano wa vinasaba, yaani ukoo.
 
Kisa kutajwa lowasa ndo kudhalilishwa ....vipi angetajwa kiongoz wa ccm......watz akili zao ndogo sana na upeo wao kama utafit ulivosema ........nakumbka kipind wameanza kuwataja wauza madawa walikuwa watu wa ccm wanaojiita wapinzan walikuwa wakifurahia ila walipoanza tajwa hao wapinzani ...wanachafuliwa .m....... ....yan tz hakuna tofaut ya anaetembea na makaratas yameandikwa degree holder au masters na mtu asiyekwenda shule wote n low thinkers vibaya
 
Hahaha...! Aisee.., huyu dada asaidiwe ili ajue ukweli wa Familia yake upande wa baba, si haki kuitupa damu yako namna hii..!
 
Ameshindwa wapi kumtafuta Lowassa miaka yote hiyo. Mbona alikuwa kiongozi angeweza kumpata kirahisi tu. Kujiuliza kwangu akufungamani na chama chochote
 
Hili zoezi hakinani linavua watu nguo machana kweupe...
 
Mkuu hana dogo aliyemzaa kando enzi za majaribio Ha ha ha

Wagumba wa kiume wanatamba kesi hizi haziwahusu.

Kuna watu wapo targeted; nanusa shombo ya samaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…