Hatari Chooni kwako!!!

Kaaazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mungu utuepushe na majanga haya!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unafunga shingo ili sumu isiende kwenye ubongo

Mhh! Nazjaz kweli? hebu soma hii habari hapa chini..

 
Last edited by a moderator:
Kufuatia hili tishio nabadilisha aina ya vyoo katika bungaloo langu, naondoa european type naweka asian type nadhani mimi na familia yangu tutakuta salama. Halafu siku Tanesco wakikata umeme siingii choono tena.
 
Bora nikajisaidie porini

Huko ndio kuna division of labour. Baadhi ya nyoka ni wawindaji, wengine wakulima, wengine wanasoma, wengine mabondia na wengine wacheza mieleka. Utachagua mwenyewe ung'atwe na yupi.
 
Pupu imegeuza njia imerudi tumboni...daah
 

iiiiiiiiiii jama du! Jama jama chatu nae anagongaga? Chatu hana sumu jama ya kugonga, anameza. Hapo turudishie chenji LexAid du!
 
Tahadhari inatakiwa wakati wowote!! Nimekoma kwenda chooni kukiwa na giza!!!
 
Nime shrink ghafla.

Damu zimesisimka mwili mzima, nimehsi km ndo nshang'atwa i see.
 
Huyo kiumbe dawa yake mafuta ya taa, yanamkata kata vipande kama vile mtu unatengeneza mishikaki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…