Hatari; Cartoons za watoto!

Hatari; Cartoons za watoto!

Kuna muda bora hata kuangalia UBONGO KIDS
 

Attachments

  • IMG_20190704_103259_102.JPG
    IMG_20190704_103259_102.JPG
    95.4 KB · Views: 28
Kwanza ungetuambia umekopi wapi maana hii text sio OG
 
kama mwanao kavuka miaka 5 na unapenda aangalie cartoon nakushauri umwekee dstv channel inaitwa disney junior!mimi binafsi katuni za humo zote nazijua na naziangaliaga pamoja nae hakuna kissing humo wala mazombie zaidi kuna vitu atagrasp huyo mwanao ambavyo vitamjenga zaidi kwa mfano kama kusaidia kazi za ndani as kuna katuni zinafundisha hivyo
Mfano hii username yangu ni aspiration from moja ya katuni za humo inaitwa fancy nancy!
Mtafutie hiyo and thank me later!
Huko nako si salama sana. Kuna vamparina,
 
Back
Top Bottom