Hatari; Cartoons za watoto!

Hatari; Cartoons za watoto!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,990
Reaction score
34,838
Wakuu,

Najua wengi hatuna muda wa kufatilia nini watoto wanaangalia na hata muda mchache tunaopata ni vigumu kujua kwa mapana experience wanazopata watoto kupitia cartoons wanazoangalia.

Naomba leo nitoe tahadhari, Cartoon Network ina content za kissing ambazo si nzuri kwa watoto na maadili yetu. Baada ya kuona hiyo romantic kissing kwenye kipindi chao maarifu cha regular show ikabidi nifatilie kwenye mitandao kuhusu hii channel na kukutana na makubwa zaidi!

Kwa kifupi tupo kwenye hatari kubwa mno kimalezi na hizi cartoons ambazo kwa taarifa yenu watoto wanajua mengi kuliko mnavyotarajia na hasa akifikia umri flani na upo karibu nae ndio anaweza kukueleza kinachoendelea huko.

Hapa chini nimeipata kwenye uchunguzi wangu binafsi, tuwe makini wazazi..

LOS ANGELES, June 12, 2019 (LifeSiteNews) — Cartoon Network, a popular television channel viewed by millions of children worldwide, is promoting the LGBTQ lifestyle.
On Twitter, Cartoon Network expressed solidarity with “pride month” in June. Thousands of LGBTQ activists and allies are attending rallies and marches in cities all over the world this month, which they have designated to promote the LGBTQ lifestyle and issues. Cartoon Network is joining them by using Steven Universe, one of its widely popular shows, to encourage support.

Pearl and Bismuth remind us to celebrate our non-appearance qualities that make us special and unique! ����@Dove#DoveSelfEsteemProject#StevenUniversehttps://t.co/kgjEEVPdTG
— Cartoon Network (@cartoonnetwork) December 21, 2018

Advertisement

“We want to wish everyone a HAPPY PRIDE and encourage all of our LGBTQ+ fans to stand proud all year long!” the network tweeted. It included emojis representing a heart, rainbow flag, and a unicorn. The tweet also featured characters from the popular reboot of the smash children’s hit show “Powerpuff Girls” and included hashtags “#powerpuffyourself,” “#pridemonth” and “#powerfuffgirls.”
Cartoon Network has described itself as “the best in original, acquired and classic entertainment for youth and families.” Along with the Disney Channel and Nickelodeon, Cartoon Network is a children’s favorite because of the large number of shows it distributes every day. The network is owned by Warner Bros. Entertainment, a subsidiary of AT&T's WarnerMedia.
Some of Cartoon Network’s programming has included controversial content. In 2018, "Steven Universe” featured a same-sex wedding proposal on the children’s show. Also last year, the “Adventure Time” series had a scene featuring two female characters kissing each other on the lips. Viewers understood the scene to confirm that the two characters were lesbians.
On its website, Cartoon Network is pushing its Steven Universe “made of love” collection, which includes rainbow and LGBT-themed apparel and gifts. Merchandise includes rainbow LGBTQ pins, a rainbow “made of love” patch, and a “kissing tote bag.” Featured are two female characters kissing. The listing reads: “Love is in the air! This multicolored pillow celebrates the Ruby and Sapphire on their wedding day.” It goes on to say: “Double sided, this pillow features the happy couple at the altar on both sides.”

We want to wish everyone a HAPPY PRIDE and encourage all of our LGBTQ+ fans to stand proud all year long! ⁣ ⁣#pride#happypride#powerpuffyourself#pridemonth #powerpuffgirlspic.twitter.com/hR8ZJ9ry1D
— Cartoon Network (@cartoonnetwork) June 2, 2019

Cartoon Network joins other networks to promote LGBTQ relationships. For example, Nickelodeon had a same-sex couple on “The Loud House” show in 2016. More recently, the Hulu network announced that it has ordered 13 episodes of “The Bravest Knight,” which depicts two homosexual men who together are raising a girl as a daughter. According to a press release, the character Sir Cedric tells stories to daughter Nia that promote “important values such as honor, justice and compassion.”
In a May press release, Hulu said, “The Bravest Knight continues Hulu’s commitment to connecting with kids and families through bold approaches in storytelling, and continues to be a supporter of LGBTQ content and creators.” Playing Sir Cedric is actor T.R. Knight, a homosexual “married” to another man. Also to appear are lesbian comedian Wanda Sykes and famed cross-dresser RuPaul. Streaming of the show starts June 21.

Advertisement
 
Wanakua kiumri wanaanza kuacha zile za kitoto sana lazima ataangukia huko. Alafu hata za kitoto si salama, ingia kwenye hiyo site ujione! Kwa kifupi tufatilie kwa karibu nini wanaangalia watoto, tuzungumze nao kuwapa facts na wawe karibu na dini.
Ok. Nitaifatilia but mimi huwa anaangalia kutia TV na siyo app wala youtube. But nitafatilia vipindi ili nivijue zaidi
 
Kama mimi vile sipendi ujiga kabisa nilikuwa nimemkalilisha baby cartoon akaja handmade akamfundisha zingine sijuo senemeka,seminema zetu,miziki na n.k nipepiga kufuri Kali ni mahubili,aljazeera.BBC tu za Tanzania zote zipo lockup
Mi channel za kipuuzi nmeweka password

Sipendagi ujinga wakizidi kunletea upumbavu nawaachia

Emmanuel tv

Bbc

Na supersport

Basi wataiona mkatili ila watanielewa huko mbele hawa mbilimbi
 
Cartoon network ni bora uiblock kabisa au unblock muda unaangalia nao.
 
Mi channel za kipuuzi nmeweka password

Sipendagi ujinga wakizidi kunletea upumbavu nawaachia

Emmanuel tv

Bbc

Na supersport

Basi wataiona mkatili ila watanielewa huko mbele hawa mbilimbi
Hatari sana, mtoto anakuwa na tabia mbovu unajua kazitoa shule au majirani kumbe ni cartoon zinapandikiza mambo ya ajabu kabisa.
 
kama mwanao kavuka miaka 5 na unapenda aangalie cartoon nakushauri umwekee dstv channel inaitwa disney junior!mimi binafsi katuni za humo zote nazijua na naziangaliaga pamoja nae hakuna kissing humo wala mazombie zaidi kuna vitu atagrasp huyo mwanao ambavyo vitamjenga zaidi kwa mfano kama kusaidia kazi za ndani as kuna katuni zinafundisha hivyo
Mfano hii username yangu ni aspiration from moja ya katuni za humo inaitwa fancy nancy!
Mtafutie hiyo and thank me later!
 
kama mwanao kavuka miaka 5 na unapenda aangalie cartoon nakushauri umwekee dstv channel inaitwa disney junior!mimi binafsi katuni za humo zote nazijua na naziangaliaga pamoja nae hakuna kissing humo wala mazombie zaidi kuna vitu atagrasp huyo mwanao ambavyo vitamjenga zaidi kwa mfano kama kusaidia kazi za ndani as kuna katuni zinafundisha hivyo
Mfano hii username yangu ni aspiration from moja ya katuni za humo inaitwa fancy nancy!
Mtafutie hiyo and thank me later!
Nilikuwa nikaipige PIN ngoja nikaifutilie mkuu shukran!
 
Hizi content sio sawa kwa watoto

Ngoja niishie hapo. Maan zingine, kuna scene za ndoa za jinsi moja.
.

Now days kukuta wanandoa wa jinsia moja katik katuni ni nyingi mno.
 
Back
Top Bottom