Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Kwa mujibu wa makubaliano yaliyo fikiwa wakati wa kupitisha kanuni juu ya nafasi ya mwenyekiti na makamu mkiti ni kwamba 'vigezo' vikuu ni pande mbili za muungano na jinsia!
Mimi ninadhani walipaswa kuongeza kigezo kingine,nacho ni 'kundi moja lisijaze nafasi zote pekee'. Kwa mfano, kama mwenyekiti ametoka CCM,basi makamu atoke kwenye makundi mengine na si CCM tena.
Hatari ninayoiona,ni utawala kuhodhiwa na 'kundi moja' ambalo ni CCM.,na hapa sina chuki na CCM,ila nataka 'kupanua' dhana ya uwakilishi sawa.