Unamiaka mingapi? na malengo yako kwake ni yepi? dini zenu totauti,malengo ya kuoa kwa sasa huna bado unatafuta,na wewe ni mwanamme ulokamilika nani atatimiza haja zako ivi ungekua mwanamke na mwamme anakwambia mamneno kama yako ungekubali kumvulia nguo eeh?Wana-JF wenzangu naombeni Ushauri....Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane! Dini zetu ni tofauti, pia hata malengo ya kuoa kwa sasa bado sina coz bado najijenga kimaisha...Mimi ni Mwanaume niliekamilika nani atanitimizia haja zangu kama cyo yeye. Anadai ananipenda hataki tuachane...Niko njia panda ndugu zangu naomben msaada na ushauri!!! Asanten...
Kwanza kabisa Wewe ni bikra? Na. Wewe unataka mke au unataka kuzini? Kama kweli unampenda na unataka awe mke wako utakubaliana nae, kama sivyo isipende kumharibu mwenzako ambaye amejiheshimu kwa miaka yote hiyo.
acha bla bla bla bikra mjini ????? umeona wapi
Asante Kaka! Ila Ndoa Siyo mchezo, siwez kukurupuka tu kuoa eti kisa mwanamke ni bikra....Yani hata dini zenyewe tuko tofauti! Cjui nifanyaje....