Hataki shida

Ningekutana naye huyu makofi yasinge epukika kwake hapo usalama wa hao madogo ni 0%.
 
...lazima ni uswazi ya china au pakistan...
 
Hivi ni vituko uswahili,eeeee bwana eee uswahilini kuna vituko.
Uswazi ni uswazi tu,hata iwe new york.
 
Mijitu kama hii ni kuikata tu hicho kigegeda baaasi nyambaafu
 
yaani nyie wote hapo hamuoni jinsi huyu mtoto wa upande wa kulia anavyoiva taratibu na bomba la moshi???! too bad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…