Confundido
Member
- Mar 17, 2021
- 56
- 162
Me najuaga tu movie, kumbe watu wanafanya kwelišššššško unataka kuzaa na mkee wa mtu? uwe tayari kumuoa tena
Nipo tayariššško unataka kuzaa na mkee wa mtu? uwe tayari kumuoa tena
Alipokuwa anapanua hakuwaza hayo?amesema atapata preshq Bure,mtoto akitoka amefananq na Mimi mume wake atajua na yy atafukuzwa
acha tu mahi ni kama story vileMe najuaga tu movie, kumbe watu wanafanya kweliššš
mpashe habariNipo tayari
Ngoja tuone mwisho wake akituletea mrejesho ššacha tu mahi ni kama story vile
umeshafanya dhambi ya uzinzi, uharibifu wa ndoa za watu na sasa naona unajiandaa kikamilifu kwenye mauaji ya kichanga asie na hatiaš¤Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata ujauzito, kwa madai ya kuwa mumewe anatatizo la uzazi ila hajijui, sasa bhana baada ya kuusoma mzunguko wake kwa muda mrefu, nimegundua kuwa amepitiliza siku Tano, hivyo nahisi ameshadaka, nimekuja na kipimo cha mimba amekataa amesema atapata preshq Bure,mtoto akitoka amefananq na Mimi mume wake atajua na yy atafukuzwa, sijajua bado nia yake nini, je anataka akutoe au sielewi
@Hannah [emoji1]Sasa alikuomba umsaidie apate ujauzito na sasa anaogopa mtoto akifanana na wewe mume wake atamind? Duuh.
Ila adui wa mwanaume ni mwanaume. Kwahiyo umezini na mke wa mwanaume mwenzio ukaona haitoshi ukamwaga ndani kabisa na sasa mnataka mumsingizie mimba alee bao lako.
Au nimesema uongo my Friend?@Hannah [emoji1]
mimi visa na stori za hapa na zipa 60% no chai zinazo baki ni ama kweli am furahisa kilinge.acha tu mahi ni kama story vile