Siku zote Wimbo uupendao ndiyo wimbo uliwahi kuufanya kwa kinywa chako.. Huwezi chukia kitu ambacho hujawahi kufanyiwa au kukifanya ukajua maumivu yake.. Humu Ndani wengi tunajificha kwenye Keyboard ila truth our words tells alot who we are nje ya JF.
Mrs Air wewe ulishapigwa sana na Umeshampeleka huyo Mumeo sana Polisi ndio maana kwako unadhani kuwa njia pekee ya kutatua matatizo ya kimahusiano ni Kwenda Polisi. Polisi ipo Kwa wahalifu...Siku Ukimpeleka Mumeo Polisi Jua ndiyo siku umetangaza Vita Nyingine. Acha nireserve comment zangu
Umewafumania wakizini?
hahhhhahha sijawah ht kufinywa shavu mwenzako,nadhan nimekujib inbobo kwako,hajui ht kusonya mume wangu,hajawah ht kumvuta sikio mtoto yaan hajui kupiga,ila nnuimekutana na case km hizo kwa watu wa karibu kwangu
NARUDIA TENA POLESANAAAAA
Bora umekuja inbobo japo sijaona meseji yoyote... Hahahahaha Wakati nasoma Shule ya Msingi kuna Methali sijui Nahau sijui Misemo ulikuwa unasemaje?
AISIFIAYE MVUA IMEMNYEA.......
Karibu inbox Umujue Akili Unazo ni Nani na Fuatilia Thread zangu angali Ninachohubiri Utamjua Akili Unazo ni Nani...
Kiongozi usiseme hivyo.Duh!!...... yaani kukuta tu anachat ndo unataka talaka???![emoji32][emoji32][emoji32]........ wewe utakuwa ni mwanamke wa makuti aisee!
Huna akili.Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Sasa kwanini umshauri mwenzie aende huko kwenye madawati.hahhhhahha sijawah ht kufinywa shavu mwenzako,nadhan nimekujib inbobo kwako,hajui ht kusonya mume wangu,hajawah ht kumvuta sikio mtoto yaan hajui kupiga,ila nnuimekutana na case km hizo kwa watu wa karibu kwangu
NARUDIA TENA POLESANAAAAA
Sasa kwanini umshauri mwenzie aende huko kwenye madawati.
Itakuwa na wewe unapakwenda nje , kosa hilo ndo linakufanya utake TARAKA ?Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Vumilia tuu ukiona hivyo anakupenda wewe mwenyewe unajuwa atafanya yoote ila nyumba aliyoijenga ndiyo ata bisha hodi nawe utamfunguliaNimevumilia mengi, ila nahisi anachukulia uvumilivu wangu for granted, nimechoka
Mkuu hapo ndipo Ushangae? Hahahaha .. Mimi Nimeshamuelewa akisemacho humu siyo maisha yake halisi.
Mwanamke ni kama mtoto. Anahitaji kubembelezwa sana. Lakini wakati mwingine anachapwa na hakuna kubembelezwa.Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa hataki.
Niko stressed jamani, nishaurini mwenzenu.
Yani Mimi ndio nimekosewa na bado nanuniwa, na nikimwambia tuachane hataki. Nifanyeje?
Mwanamke ni kama mtoto. Anahitaji kubembelezwa sana. Lakini wakati mwingine anachapwa na hakuna kubembelezwa.
Mpaka hapo unahitaji kubembelezwa. Jifanye unafunga vitu vyako Tayari kwa kuondoka. Utaona kinachofuata
Najua unahasira nyingi, ukienda huko utataman kurudi.Nimevumilia mengi, ila nahisi anachukulia uvumilivu wangu for granted, nimechoka
Nilitegemeq umwambie aendelee kumchuna pesa kwanzaUpo speed kama rocket mama... embu tuliza akili ,punguza hasira ,halafu fikiria future ya mwanao ... halafu jua nafasi yako kama mama ..
Mchepuko ni temporary tu huwa hawakai kama mke ukisimama imara katika ndoa yako.. usikubali mtu kuchukua haki yako kisa tu mwanamke asiyejua thamani yake...
Omba pesa za matumizi kwa upole na upendo na usigusie ujinga wake. Biblia imesema aziniye na mwanamke hana akili.. sasa mumeo kama anazini huko jua hana akili na usipokuwa na akili mwanao anahali ngumu
Si mama imara Sali , Weka malengo katika maisha yenu, angalia mwanao.. basi .
Muhimu wakati wa kusali usijipangie adhabu we mwachie Mungu afanye ...
Lakini kama ulikuwa umeshaamua kuachana nae na ulikuwa unatafuta sababu okey mama endelea tu kumfokonyoa ..
Mkuu hapo ndipo Ushangae? Hahahaha .. Mimi Nimeshamuelewa akisemacho humu siyo maisha yake halisi.