princessita
Member
- Aug 19, 2013
- 21
- 6
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe sio vizuri ila wanawake wengine anaweka na kuwasifia wengine wanamwita mume mpenzi mi naona na niko kimya tu mpaka sasa nimeamua na mimi nikae kimya wadau niambieni siri iliojificha hapa kama ananipenda kweli is aweke wazi kila kona kwani nini afichefiche najihisi kama sio priority kwake ni ptional