Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,169 Reaction score 60,527 Oct 18, 2010 #1 ...........................................
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Oct 18, 2010 #2 Kazi inasonga na familia yangu mpaka kieleweke! Ushindi kwetu ni lazima!
M mbea Member Joined Oct 12, 2010 Posts 97 Reaction score 1 Oct 18, 2010 #3 Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa!
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Oct 18, 2010 #4 mbea said: Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa! Click to expand... nani anangoja hapo kuwa raisi JM, wife au mtoto!? na wewe ni nani hapo? upo sehemu gani kwenye uraisi wa familia!?
mbea said: Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa! Click to expand... nani anangoja hapo kuwa raisi JM, wife au mtoto!? na wewe ni nani hapo? upo sehemu gani kwenye uraisi wa familia!?
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 825 Oct 18, 2010 #5 kama nyerere...au mwinyi .....au mkapa wange waweka watoto wao madarakani namna hii kikwete angekuwa rais kweli..???? unaleta dynasty katika nchi hii sio...? WATANZANIA WA SASA SIO MABWEGE...!!!!!!!!!!
kama nyerere...au mwinyi .....au mkapa wange waweka watoto wao madarakani namna hii kikwete angekuwa rais kweli..???? unaleta dynasty katika nchi hii sio...? WATANZANIA WA SASA SIO MABWEGE...!!!!!!!!!!
K kingwipa1 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2008 Posts 334 Reaction score 51 Oct 18, 2010 #6 mbea said: Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa! Click to expand... Mbea au mmbea, nadhani rafiki yangu unahitaji ushauri na saa ili uweze kujua alama za nyakati na kuchagua kilicho bora. Urais wa kifamilia unataka kuja Tz....... kwa hili EL anaicheka familia hii... duuh, hata shetani anaicheka familia hii
mbea said: Jamaa tarayi anangoja kuapishwa tuu,lo masikini wapinzani wamelowa! Click to expand... Mbea au mmbea, nadhani rafiki yangu unahitaji ushauri na saa ili uweze kujua alama za nyakati na kuchagua kilicho bora. Urais wa kifamilia unataka kuja Tz....... kwa hili EL anaicheka familia hii... duuh, hata shetani anaicheka familia hii
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,254 Oct 18, 2010 #7 Anayesubiri kuapishwa ni Dr. Slaa labda hamkumwelewa vizuri na CCM ndiyo watasusa safari hii na kununiaaaaaaaaaaaa
Anayesubiri kuapishwa ni Dr. Slaa labda hamkumwelewa vizuri na CCM ndiyo watasusa safari hii na kununiaaaaaaaaaaaa