Hata sisi tuna swaga

ka kiume kamependeza ka kike hiyo suruali ndani ya gauni mmmh
 
Duh! hiyo suti na hilo gauni wakifika form one watakuwa bado wanavaa.
 
Huyo binti na kijana nawafahamu ni watoto wa nanihiiii........
 
Sisi masikini huwa tunawanunulia watoto wetu nguo kubwa ili wawe wanakuwa nazo.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…