Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Kwani wewe sio StaaShairi lako zuri.
Kwani wewe sio Staa
Hahhahhah Lizzy sio Muarusha bwana!!!
Ila kitu kimetulia!Endelea.....
sina kipaji.
Magulumangu jamani mbona wataka niumbua..lizzy wewe hukumbuki, ulopita niambia,
mimi sio mamuruki,kusahau lipoanzia,
unga ltd hukumbuki,kwenu lishaniambia,
Kumbuka lichosema,isije kuwa ajali.....
pa1 sana.husninyo usijali,mambo ndo yanaanza,
,
too biased........majina yote ya wabeijing!!!!!!
kweli 2po ktk zama za sayansi na teke linalokujia,yaani mpaka Star nazo ni memba wa jf na zinaweza kuandika Kiswahili!
Hivi mastaa wako hakuna wa kiume? Mbona wote wa kike?
Magulumangu jamani mbona wataka niumbua..
Nilichokwambia sirini hadharani wafichua....
Kila nililokueleza hivi sasa najutia....
Hakika nakwambia leo mwisho kunijua.,,
mmmmh, wewe mtoto una hila weye...lol.....
mmmmh, wewe mtoto una hila weye...lol.....
Nitaanza kuwataja,kwa majina na tabia,
Afrodenzi namtaja, nyamayao fatilia,
Nilham anakuja,wa rasheedi fatilia,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
Judi wetu mwanaheri,asha d sitokuacha,
sweetlady yu mahiri,lizzy ye muarusha,
Brackberry stahiri,kukuacha tutaisha,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
Mwanajami1 jamani, jukwaa liwakilishe,
Pearl Matty huerini,Kareen_hapuch miche,
Daughter wake zioni,Blaki woman turushe,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
Sio kwamba nakuacha, hili ni duru la kwanza,
Mkao kula kukicha,ntakuja na wa kwanza,
Wewe mwana maisha, kwa jina lake ni minza,
Hata sisi ni staa, kwa majina nitataja,
Ai ai ai ai ai ai,...
so siku hizi watu wa TRA kazi yenu ni kuandika mashairi tu?
ops,kumbe sipo kwenye siasa,...
mashairi bomba sana mkuu