F fadhili jumanne Member Joined Jun 23, 2014 Posts 17 Reaction score 6 Sep 10, 2014 #2 ha ha ha ha, mkuu umetisha sana, kitu cha apple
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Sep 10, 2014 #3 MKUU NIMECHEKA MPAKA MACHOZI, Umenikumbusha mbali sana, nilikwua nikinunua jojo lazima niile kwa siku kadhaa, nitaitafuta kisha nitaitunza pembezoni mwa kitanda kesho yake nitaichukua na kuitafuna tena., DUh utoto raha kweli!
MKUU NIMECHEKA MPAKA MACHOZI, Umenikumbusha mbali sana, nilikwua nikinunua jojo lazima niile kwa siku kadhaa, nitaitafuta kisha nitaitunza pembezoni mwa kitanda kesho yake nitaichukua na kuitafuna tena., DUh utoto raha kweli!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Sep 10, 2014 #4 Jamaa mkali