Hata sijui itakavyo kuwa

ninanusa harufu ya shotokan ikiwa imechanganywa na kravmaga huku refarii akiwa matchette
 
Kuna mtu hapo mazishi yake yatakiwa saa kumi maana silaha hazipo mbali
 
kama mwenye mali hakujipanga unaweza kukuta alizimia na jamaa katoka kwa kumruka tu 🙂
 
Huyu jamaa anachepuka na demu wa ninja anajipenda kweli huyu????
 
Mna mawazo mabaya tu, huyo aliepo kitandani ni mtu na mkewe wako chumbani kwao, huyo anaekuja na mkoba ni fundi wa kunoa visu, ana tabia mbaya tu, kapiga hodi alipoona haitikiwi kachoma ndani, akikuta hiyo hali atarudi nyuma nduki kwa tahayuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…