Hata siamini kama nimenasa

Upo Kasinde?

Naona unaendelea kula bata huko majuuu (naamini hujaliwa pia....lol)!!

Huyo Tuko niachie kwanza nimalizane naye!

Nipo babu DC, yaani nakula bata kwa kwenda mbele nyuma sirudi ng'oo, (sijaliwa babu mie ndo nakula heheheee)

Huyu Tuko bora u dili nae maana anasema eti amesoma na wewe darasa moja wakati mi najua humu JF babu uko wewe tuu, Asprin najua ni babu kwenye mambo yake yaleeee ila babu wa ukweli ni wewe DC...
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha kasinde ni mpenzi sana wa NGONO.

Iweje ujiandaee kias hicho?????

Je, ulijua kuwa huo mchezo utafanyika katika safari yako USA??? au ndio kilichokupeleka huko!!!!

Dear Thomas,
you have all the right to doubt me, nad I have all the right to remain silent until then coz even though I answer what u asked for still u wont believe it. Wherever, whether u believe it or not let me explain this;
  • I got my visa to USA very easily coz I had an invitation from my mwenyeji wangu ambaye yeye ni mmarekani long ago, nilifahamiana naye miaka 3 iliyopita na tukawa tunawasiliana all this time. In between those 3 yrs akaniambia anataka kuja TZ alipokuja kwa gharama zake nikampa kampani ya kutosha hapa bongo na alifanya utalii wa kutosha, he was alone na hajaoa hadi leo. Wakati anarudi marekani nikamwambia nami natamani kuja huko ila nikijiweka sawa financially ntaomba unikaribishe nipate visa ili nije kutembea huko for a while akasema ukiwa tayari niambie. Baada ya kuandamwa na misukosuko hapa kati mwaka huu nikaona niombe likizo kazini niende nikapumzike marekani, nikawasiliana na huyo rafiki yangu na akaaply visa yangu online akiwa kule marekani document zilizohitajika aliniambia nami nikaziscan na kumtumia kwa email pamoja na passport size pictures. So ilipofika siku ya interview nilienda pale ubalozini na document original ambazo mwenyeji wangu alizituma online na kusema yeye atanikirimu muda wote nitakaokaa kule. Interview haikuwa ngumu niliulizwa maswali kujustify document nilizopeleka na nikaambiwa nirudi siku flani kuchukua visa yangu. Thast it, and thats how I got my visa.
  • Nauli ya kwenda huko nimekata mwenyewe and the price was USD 950 with Emirates airline nilikata one way only maana ya kurudi ntakata tena. I had enough balance ya kusurvive huku only that nakaa kwa mwenyeji wangu na usafiri natumia wake, kipindi hiki ni summer yuko likizo so nazunguka nae mahali pengi pengi ila shopping nafanya kwa pesa yangu.
  • Kama umenisoma vizuri Kasinde mie napenda kusimulia kila kitu coz sina rafiki, sina shosti wa kupiga nae umbeya, siko FB maana huko ndo kwa kusimulia matukio na picha, so hapa JF ndo kijiwe changu na MMU ndo chumbani kwangu, najiskia huru kusimulia chochote hapa kinachonitokea na niko hivo hata in real life, hata ofisini kwetu wafanyakazi wenzangu washanizoea na sometimes wananiita msimuliaji, thats it.
  • Whether u believe me or not it is up to you and not me...
 
Inaonyesha kasinde ni mpenzi sana wa NGONO.

Iweje ujiandaee kias hicho?????

Je, ulijua kuwa huo mchezo utafanyika katika safari yako USA??? au ndio kilichokupeleka huko!!!!

Kasinde nakula ujana....
 
Huko wenzio wanaishi kwa bajeti;
Usije ukapeleka mapishi ya kule kwetu unyakyusani,
ukawatia watu hasara, ukaonekana siyo mwanamke bora.

hahahahaaa niko full masnondo, kwenye misosi sometimes am using my cash, niliwapikia chakula kidogo kidogo ila it was 3 course meal delicious na walifurahia hasa Sean.
 
Aisee unaweza kuta huyo ndo mchumba wa mtu mwingine,imagine hapa anamsifia mchepuko wake na baadaye akirudi kwa jamaa blaa bllaa ur so sweet,I love u !

Kidogo tu niigie mkenge kutangaza nia ,, du kumbe ninge bugi
 
Mkuu ulipika dagaa wa kigoma au? Na unga je ulikuwa umechanganywa na udaga?

hehehee nilipika dagaa mchele huku wanaita sardines niliwakaanga pembeni, walikuwa dagaa wabichi fresh. Unga wa ugali unauzwa supermarket so the dishes was good and delicious.
 
mhh i wish nikuone usije ukawa mke wa mdogo wangu

am not married bana, how can I be a wife of ur young brother, just look at may avatar it has some things that are in me by 89-90%. And thats how I look like, kwani mke wa mdogo wako nae amesafiri?
 
We jimwage bana, ukitoka huko pitia na hawaii kuna vingi sana pia


sina mwenyeji kule bana, I wished to be in America and here I am huko sijawahi kuwish kwenda, au wewe unaishi huko?
 
Niko karibu na huko, karibu sana Vanuatu island

mmmh naogopa mafuriko mie huko visiwani kunafurika sana bora ksiwa kikubwa madagascar naweza jipa moyo kwenda, poa stay well.
 
Huko wenzio wanaishi kwa bajeti;
Usije ukapeleka mapishi ya kule kwetu unyakyusani,
ukawatia watu hasara, ukaonekana siyo mwanamke bora.

poleee maana ungetangaza tuu ungemwagwa vibaya na Kasinde


Jamani naionea huruma hyo papuch yko....hauitendei haki kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…