Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
oohh really, and who told you that I wanna be pain that bride price, am not gonna get married though I loose mu nuts today doesn't mean that am gonna get married nop nah, mna kazi nyie mnaotafuta wake, mbona wako wengi wanaotafuta kuolewa but not me, as my theme here is kula life, anyaways in the morning ndo ntajua whether nikaze nuts zangu au nizilegeze to Sean but marriage is a vocabulary that is not in my dictionary, get it!!
Natumai mpaka urudi, utakua umekinoa kigreza chako.
Who would want to marry this shit anyway??
we Kasinde amka basi utumalizie wenzako uhondo...mweeh!!!!!
shkamoo kaka, au shkamoo dadii, au shkamoo babuu..... by the way how r u? Say hi to my wifi/auntie/gran'ma (mean ur wife) take a good care of her.
dack City nimesoma nae bana..Unamzidi babu Dark City au wewe mdogo kwake? Shkamoo tena babu Tuko looh!!
dack City nimesoma nae bana..
Any way... juzi ulikuwa unajisemea hapa ooh, mi na wanaume tena baas.. nikakwambia bana wewe ulikula nguru kanuka shombo unalaani samaki wote...
Ona sasa umekula sijui ndo johari huyo... unajilambalamba hapa...
Hahahahaaa Tuko nilijua tuu utaniambia hivyo daah ila I think it happens once, I will try my best to be on my side of kula ujana na kupopo, nikianza kuendekeza hii mambo ntaharibu mipango yangu yote. By the way umekula supu ya utumbo leo? au leo umekula ya ulimi? Karibu tuinjoy summer huku jua linazama saa tatu na nusu au saa nne usiku, yaani usiku mfupi mchana mrefu, I already miss home na hivi ninavopopo, ila leo ntakuwa home siendi kupopo.
Tulidiffer na ndo aliyenifanya nikaanza life ya kupopo na kula ujana, actually he stressed me to this kind of life
Leo nimekula supu ya mkia bana...
Jua kuzama saa 4 usiku?!!! Sasa hapo disco mnaanza saa ngapi maana raha ya disco ni zile taa za vimulimuli...
Woow!! umenikumbusha, huku pia nimekuta wanauza mkia wa ng'ombe ila unakuwa umeshachunwa so rahisi kuchemsha supu asubuhi na ndizi za kuchemsha akuuu kwa raha zetu, ndomaana siachi mazoezi vinginevyo unaweza kuwa fat kama wao maana wana miili balaa. Hongera kwa kuinjoy supu, disco ni indoors so ukiingia ndani hujui hali ya hewa ya nje ikoje, na kama tukienda disco huwa tunatoka saa tano usiku kurudi it depends na siku, other days midnight, other days majogoo etc.
You seam to be a disco champ eeehh kama nakuona ukiwa unaruka majoka heheheheee, vunja mifupa kama meno bado iko, ukizeeka au meno yakitoka unamung'unya tuu looh
Disco mi nilicheza sana bana enzi zile za virunga na inde monii...
Sasa, hata Sean alikuwa na mwili nyumba? Hakukuumiza kweli?
Hahahahaaaaa Tuko umeanza, wakati wa inde monie nilikuwa darasa la kati la primary school u can emagine TV mbele kisha nacheza kuiga wale stage show kopi right na ikitokea sherehe tuu za home lazima tutoe shoo, it was fun by then life was sweet. Ndo maana nimeona nirudi in those years by kula ujana looh, now about Sean....... mmmhhh hahaaahaa he is huge but not XL not that big but he is tall, he exercise also ila yeye anacheza basket. Tuko should I answer this, shauriyako umeanza uchokozi mwenyewe, nop he didn't hurt me he was gentle though amenizidi urefu na unene kidogo, am fine Tuko he just made the game smooth and tender, thanks for caring hahahahahaaa unanifanya niwaze kitu flani hv.......:smiling::smiling:
Well... kama ulikuwa unaweza kuwaigizia stage show wa inde monii basi nina uhakika Sean kaenjoy.... hopefully nigga atakuwa anahadisia viuno vya kitz huko... safi sna kwa kuitangaza Tz in a positive way...lol